Recent content by Munguwenka

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mch. Gwajima amgomea Makonda

    wakuu wetu wengi upenda kujihusisha na mambo mepesi ambayo ni level ya afsa mtendaji wa kata.haya ya level yao kama migogoro ya viwanja na miundombinu mibovu uyakwepa.wanapenda kujitokeza kwenye matukio ambayo yatawauza kwenye magazeti.Ndo tunaona issue ipo police lakin ata mkuu wa wilaya na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati tangaza mgao wa umeme

    Tanzania yetu ina mambo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la mali na madeni ya Zitto Kabwe wa chama cha ACT Wazalendo

    Sioni tatizo la wanasiasa kumiliki mali.iwe ni mbowe,silaa ,zito au yoyote cha muhimu ni mali kupatikana kwa njia safi na sahii
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC!

    Muhimu ni kuiombea nchi yetu amani mwaka uu wa uchaguzi.mwisho wananchi wataamua.MUNGU IBARIKI TANZANIA.MUNGU WABARIKI WATANZANIA
  5. M

    JamiiForums Tanzania Watu 15 mbaroni kwa njama za Kutaka kumtorosha Mchungaji Gwajima

    napata shida kuwaamini polisi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba na wageni wengine Wasusia Uzinduzi wa ACT Tanzania

    mmmmh kazi ipo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete awasili Marekani kwa ziara ya shughuli za Umoja wa Mataifa

    nani mkweli sasa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Iran iko tayari kwa vita na Marekani, Israel

    Nimechoka na ubabe wa Marekani.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu 11 kuhusu hatima ya Mahakama ya Kadhi na hali ya Amani

    mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh yaani kila mlengo wa dini unatumia kura ya hapana katika katiba kama siraha ya kuitisha serikali ifuate matashi yake.Kichekesho kinachokuja ni pale wote watakapo amasisha kura YA HAPANA arafu ikapita sijui ni mlengo gani wa dini utakua umeshinda. ahahahaha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Awindwa

    Haki itendeke katika ili.isiwe ni mbwembwe za kisiasa.maana kwa uelewa wangu mdogo pesa ya mfuko wa jumbo haiwekwi kwenye acc bnafsi ya mbunge bali inawekwa kwenye acc ya halmashali hucka na kuna kamati hucka na wala sio pesa bnafsi ya mbunge.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Gari la waziri mkuu mstaafu yapigwa mawe

    mwaka 2015 ni mwaka mgumu kisiasa tusipokua watu wa kuvumiliana yaliotokea Kenya yanaweza kujirudia TZ.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya shirika la Kijasusi la kanisa Katoliki duniani na Tanzania

    Naomba kujuzwa hizo 11 families which runs the world
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ama Dr Slaa, Mbowe mmoja aende CUF au Lipumba, Seif mmoja aende CHADEMA kutii UKAWA

    umoja wa ukawa haukuja bahati mbaya .umetokana na makubariona ya vyama usika,mpaka wanaungauna walipitia changamoto zilizopo mbele yao.katika hili mi nadhani tuwape nafasi na muda mwisho wake utaonekana .
  14. M

    JamiiForums Tanzania BVR Yamkataa Goodluck Jonathan Nigeria

    io ni kwa nigeria taifa ambalo wapo mbele yetu .hapa kwetu sijui itakuaje.ni bora tume ikachukua tahadhari mapema
Back
Top Bottom