Recent content by MUNGU WANGU

  1. M

    JamiiForums Tanzania Polisi mnalitia aibu Taifa

    As of this afternoon 🤣🙌🏿
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kuna wazungu wengi mno, nipeni mbinu za kupata jimama a.k.a lishangazi la kizungu

    Sasa hapo! Kama Fluent English ipo basi nenda kilwa kuna kachukue vinyago vya mti wa mpingo wanauza bei chee tu! Nenda navyo huko zenji unaviweka kwenye kibegi kama vendor tu! Unavotafuta hilo jimama tembeza hizo vinyago upige USD zako! Na hilo jimama utakutana nalo tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bei elekezi ya ku-renew pasi ya kusafiria iliopotea ni shilingi ngapi?

    Wahuni wamepita na koba langu! Sasa kurenew huu mkoba ni bei gani kwa express! Nataka niipate within a day!
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu niwe na nyumba ndogo (mchepuko), ndoa yangu ina amani sasa

    TUTAKUWEPO Hadi pale mke atakapotaka mgawane rasilimali….
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wazazi, acheni kuwapost watoto wenu wachanga mtandaoni

    Lakini kuna swali fikirishi hapa! Wewe usiyependa status je huwa unazitizama za nini kama huzipendelei?! Waache watu na uhuru wao wa kufanya kitu kinachompa furaha na amani hata kama wewe kwako unaona hakina faida yoyote!.
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mliooa na kudumu kwenye ndoa nawapa bg up

    Kwahiyo umebaini mkaa unaenda wapi? Au unatumika katika matumizi ya wewe na yeye na hilo gunia la kilo ngapi mana isije kiroba cha kilo 25 unaita gunia
  7. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna kodi mpya ya majengo Mwanza

    Hamiashia hiyo mita ya luku kwenye nyumba kubwa halafu hiyo nyumba ya kuanzia ndogo fugia kuku au weka kama stoo uone kama watakuletea hizo mbanga
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mliooa na kudumu kwenye ndoa nawapa bg up

    yani tumambo mambo simply simply kama huto ndio tunakukera?! Asa mafuta na mkaa vinateketea na wakati vinatumika kwa matumizi ya wewe na yeye sasa unashangaa nini?! Au anachota mkaa anapeleka kwao?! Bwana mdogo bado unaogopa majukumu wewe!
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiambiwa uwataje marapa 3 ambao ni wakali wa michano kutoka kwenye list hii, utaenda na nani?

    Simple Ningeenda na hawa hapa Mr 2 Sugu Azma Mponda Jacob Makalla Yaani Mpaka Muda Huu
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili bandia yavamia viwanja vya sika

    Me lakwangu nalisakizia bungeni
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili bandia yavamia viwanja vya sika

    Hapa kila mmoja atengeneze robot lake aliingize mtaani kuzisaka mbumba tu! Kisha mimi ninakaa kama observer tu! Kutizama yanayojiri.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Napataje barua ya uthibitisho wa safari? Ili kupata passport?

    Kwahiyo unashindwa kunyosha shati vizuri unatoa michuzi leo kesho unafata pale mambo ya ndani kufata mkoba wako! Kuwa makini mkoba mpya unanukia pesa tupu! Kila unapopita unaacha harufu ya pesa… Kuna mambo mengi kwenye kuyatafuta maisha kila la kheri…
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dada yangu ana mtaji wa wa Milioni 30, unamshauri afanye biashara gani?

    Anunue kiwanja rufiji hapo anapata kama hekari 5 hadi 10 barabarani halafu aendeee kutafuta hela zingine baada ya miaka mitano! Rufiji aisee! Nawakumbusha Rufiji ni Pwani! Mkoa mpya hapo pwani itakuwa shangwe! Wandengereko hawajastuka bado
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi huyu jamaa huwa anatumia muda gani kuandika mistari yake sio kwa ufikirishi huu

    Mbona hajalalamika kuwa biashara inamkata kwenye music wake?!…
Back
Top Bottom