Mimi nimewaza sana juu ya mizimu,majini na mazombi katika kuabudu.
Ni wazi Waafrika kabla ya waarabu tulikuwa na Mizimu walipofika waarabu wakafika na majini kupitia uislam na walipofika wazungu wakafika na mazombi i.e Yesu.
Hivi hapo kuna tofauti gani inayotufanya Waafrika tuache kuabudu...
Ndiyo kwa kuvuta kiasi mara moja kwa wiki na nimetoka muhimbili jana klinik wameshangaa baada ya vipimo kuonyesha mafanikio.
Nilisimbuliwa sana na pressure ya kushuka kwa muda mrefu iliyosababishwa na portal hypertension iliyopelekea mishipa kupasuka na damu kuvujia tumboni hatimae kutapika na...
Unachofanya ni ubabe kwani kama dereva kakimbia speed 87 ulipaswa kumchukulia hatua siyo kulishikiria basi pasipo kuangalia upande wa pili wa abiria.
Askari uliyemuagiza akamate gari amejaribu kukushauri walipe faini ili waendelee na safari bali umekataa na baada ya muda ndiyo unasema dereva...
Ndiyo maana nakwambia wewe ni mjinga zaidi yangu unawaamini na kuwanuenyekra ngozi nyeupe i.e waarabu na wazungu,hivi kwakuwa wazungu wapo waislam ndiyo kunakufanya uwe muislam?
Soma hiyo najua huwezi kumuamini Mwafrika kama unavyo waamini waume zako wazungu na warabu!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.