Recent content by Mungoni Mshamba

  1. Mungoni Mshamba

    JamiiForums Tanzania Tanzania Public Service College selected applicants first round 2019/2020

    Umechelewa. Ingia ktk website ya chuo udownload prospectus utaelewa zaidi.
  2. Mungoni Mshamba

    JamiiForums Tanzania BODI YA MIKOPO

    25th October, 2019
  3. Mungoni Mshamba

    JamiiForums Tanzania MSAADA JAMAN

    Kila kitu kimeshaandaliwa utaratibu wake, usiwe na wasiwasi kila kitu kitakuwepo sawa. Usajili upo mpaka mwezi wa 12.
  4. Mungoni Mshamba

    JamiiForums Tanzania BODI YA

    Kuanzia trh 20 October. Keep waiting bado sana.
  5. Mungoni Mshamba

    JamiiForums Tanzania ukweli

    Huwezi kuomba tena.
  6. Mungoni Mshamba

    JamiiForums Tanzania kwa wale ambao hawajachaguliwa kujiunga na vyuo

    Haulipii tena.
  7. Mungoni Mshamba

    JamiiForums Tanzania Tanzania Public Service College selected applicants first round 2019/2020

    Sina uhakika, tuendelee kusubiri
  8. Mungoni Mshamba

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Naomba ushauri wa chaguo muhimu baada ya mdogo wangu kuchaguliwa kozi mbili

    Mwambie aende akasome anayoona inamfaa na anaipenda.
  9. Mungoni Mshamba

    JamiiForums Tanzania TCU yatoa majina ya waliopata vyuo raundi ya kwanza ya udahili

    Tembelea vyuo ulivyoomba vyote unaweza kuona jina lako.
  10. Mungoni Mshamba

    JamiiForums Tanzania Tanzania Public Service College selected applicants first round 2019/2020

    Kwa waliochaguliwa kozi ya Secretarial Studies and Administration mkihitaji msaada wowote kuhusu hiyo kozi, nitumieni namba zenu PM ili tuweze kuwasiliana na kupata msaada zaidi.
  11. Mungoni Mshamba

    JamiiForums Tanzania Tanzania Public Service College selected applicants first round 2019/2020

    Chuo cha utumishi wa Umma kimetoa orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo hicho katika ngazi ya degree. http://www.tpsc.go.tz/uploads/publications/en1566204048-SELECTED%20APPLICANTS%20ROUND%201.pdf
  12. Mungoni Mshamba

    JamiiForums Tanzania Mwisho wakuomba mkopo ni August 23

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza kuongeza muda wa kuomba mkopo kwa njia ya mtandao kwa siku saba hadi Ijumaa, Agosti 23, 2019 ili kuwapa fursa waombaji ambao hawajakamilisha maombi yao kutumia muda ulioongezwa kufanya hivyo. Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Abdul-Razaq...
  13. Mungoni Mshamba

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu

    Unaweza hata Kwa simu
Back
Top Bottom