Mungoni Mshamba
Senior Member
- Jan 30, 2017
- 154
- 63
Chuo cha utumishi wa Umma kimetoa orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo hicho katika ngazi ya degree.
Sina uhakika, tuendelee kusubiriMkuu vipi selection za waliochaguliwa ngazi ya cheti watatoa lini?
mkuu ningependa kwanza uelezee majukumu ya kiutendaji ya mhitimu wa hii kozi ngazi ya shahada yanatofautianaje na sektratari tuliowazoea maofisini. pia kama hutojali uorodheshe na core courses zinazosomwa semester ya kwanzaView attachment 1185711 Kwa waliochaguliwa kozi ya Secretarial Studies and Administration mkihitaji msaada wowote kuhusu hiyo kozi, nitumieni namba zenu PM ili tuweze kuwasiliana na kupata msaada zaidi.
mkuu ningependa kwanza uelezee majukumu ya kiutendaji ya mhitimu wa hii kozi ngazi ya shahada yanatofautianaje na sektratari tuliowazoea maofisini. pia kama hutojali uorodheshe na core courses zinazosomwa semester ya kwanza