kwa wale ambao hawajachaguliwa kujiunga na vyuo

kwa wale ambao hawajachaguliwa kujiunga na vyuo

karare

Member
Joined
Jun 4, 2019
Posts
31
Reaction score
8
wale ambao hatujachaguliwa kujiunga na vyuo,
je, tutalazimika kufanya aplication upya za kuomba vyuo tena kwa mara ya 2????
au inakuaje apo
msaada tafazali
 
Rudia kwenye io akaunti yako ya mwanzo weka tena machaguo hayo hayo au unaweza kubadilisha
 
wale ambao hatujachaguliwa kujiunga na vyuo,
je, tutalazimika kufanya aplication upya za kuomba vyuo tena kwa mara ya 2????
au inakuaje apo
msaada tafazali
Wametangaza second round,omba tena
 
Ndugu yangu matokeo kapata leo,Kuna uwezekano wa ku apply?
 
sasa apo tunalipia tena au malipo ni yale yale ya awali.
 
kama chuo hujakiomba first round ila saiv unataka kuomba hapo vp?
 
wale ambao hatujachaguliwa kujiunga na vyuo,
je, tutalazimika kufanya aplication upya za kuomba vyuo tena kwa mara ya 2????
au inakuaje apo
msaada tafazali
Lazima ufanye tena maana tayari ulisha kosa na utapata kama maksi zako zinkianda na competition iliyopo

Ndugu yangu matokeo kapata leo,Kuna uwezekano wa ku apply?
Inawezekana kabisa ata serikali inajua ndio maana ikaweka kuapply round zote

sasa apo tunalipia tena au malipo ni yale yale ya awali.
Si zani naona ukiiingia kwenye account yako ya zamani utakuta reply then utafanya hiyo reply
 
wale ambao hatujachaguliwa kujiunga na vyuo,
je, tutalazimika kufanya aplication upya za kuomba vyuo tena kwa mara ya 2????
au inakuaje apo
msaada tafazali
Mkuu unaongelea vyuo level ipi?
 
Na kwa wale tuliomba kupitia nacte na hatujachaguliwa
Kwa comment ambazo nimesoma kwa waliokosa sizaini kama wataruhusu kuomba tena wala hakuna sehemu ya kureply wala nini mfumo umefungwa wanasema jaribu tena mwakani
 
Na kwa wale tuliomba kupitia nacte na hatujachaguliwa
Kwa ujumbe huu sizani kama kuna second selection
Screenshot_20190907-211349.jpeg
 
P-C
C-B
B-C

Alitaka soma medicine, pharmacy au nursing.Sasa alijaza kozi hizo akachanganya na zingine zisizoeleweka.Bahati mbaya akachaguliwa veterinary SUA.

Sasa haitaki hiyo,msaada afanyeje pengine ili asome hizo kozi azitakazo?Au ndo basi tena asubiri mwakani?
 
Back
Top Bottom