Ushauri: Naomba ushauri wa chaguo muhimu baada ya mdogo wangu kuchaguliwa kozi mbili

PRINCEd

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
845
573
Wanajamvi naomba ushauri kidogo, mdogo wangu kachaguliwa Course zifuatazo ameniomba ushaurii ipii "aconfirm"

Course ya Kwanza.....

Bachelor of Science in Agricultural and natural resources economics and business

Ya pili ni....

Bachelor degree in Shipping and Logistics management.....

Mwenye Kujua undani wa hizi course, soko la ajira, kijiajiri, na mengineyo naomba tupeana Ushaurii.....

Naomba Kuwasilishaaa
 
Mwambie asome hiyo Agriculture Mkuu
Achane na mambo ya shipping na logistics hayana dili hiyo ya agriculture anakuwa na uwanja mpana sana kujiajiri na kuajiriwa
Anaweza kuwa asifa kilimo
Afisa misitu
Maswala ya mazingira
 
Wanajamvi naomba ushauri kidogo, mdogo wangu kachaguliwa Course zifuatazo ameniomba ushaurii ipii "aconfirm"

Course ya Kwanza.....

Bachelor of Science in Agricultural and natural resources economics and business

Ya pili ni....

Bachelor degree in Shipping and Logistics management.....

Mwenye Kujua undani wa hizi course, soko la ajira, kijiajiri, na mengineyo naomba tupeana Ushaurii.....

Naomba Kuwasilishaaa
Kwa upande wangu naona hiyo ya kwanza inafaa zaidi kwa kuangalia mahitaji yake. Hata hiyo kozi yenyewe inajieleza ni kwa jinsi gani ina wigo mpana
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom