Official Juma
Member
- Aug 1, 2019
- 10
- 0
Naomba kufahamu utaratibu baada ya kupewa mkopo chuoni, siku ya kuripoti watakutambuaje kama umelipiwa tuition fees na HESLB je, na utapataje accommodation???
MTAPEWA TAARIFA HUSIKA NA PIA ORODHA HUWA INATUMWA HUKO CHUONI KWENUNaomba kufahamu utaratibu baada ya kupewa mkopo chuoni, siku ya kuripoti watakutambuaje kama umelipiwa tuition fees na HESLB je, na utapataje accommodation???
Asante mkuuMTAPEWA TAARIFA HUSIKA NA PIA ORODHA HUWA INATUMWA HUKO CHUONI KWENU
Nimeona kunachuo wamesema kujisajiri mpaka uwe umetoa ada kama laki 250,000 sa itakuaje wakati repoting ni tarehe 29 mwezi wa 10 na kujisajir ndo hzo tarehe 25 na bodi ya mkopo wao wamesema tarehe wanatoa majinaMTAPEWA TAARIFA HUSIKA NA PIA ORODHA HUWA INATUMWA HUKO CHUONI KWENU
Kila kitu kimeshaandaliwa utaratibu wake, usiwe na wasiwasi kila kitu kitakuwepo sawa. Usajili upo mpaka mwezi wa 12.Nimeona kunachuo wamesema kujisajiri mpaka uwe umetoa ada kama laki 250,000 sa itakuaje wakati repoting ni tarehe 29 mwezi wa 10 na kujisajir ndo hzo tarehe 25 na bodi ya mkopo wao wamesema tarehe wanatoa majina