Recent content by muneera75

  1. muneera75

    Wanachuo pitieni hapa mnipe mbinu mwenzenu

    Kama kuna kitu unafanya ambacho kitakusaidia kutatua matatizo bro nakushauri acha chuo to be honest mi niko chuo and mwakani namaliza lakini kuwa mkweli tu skuiz degree haina msaa kiivo. Kama una kipaji au ujuzi au biashara unaifanya endelea nayo tu utafika mbali.
  2. muneera75

    Wanachuo pitieni hapa mnipe mbinu mwenzenu

    Kwani human resource sio kozi nzuri? We kakwambia nani? Hamna kozi mbaya na hamna kozi ambayo hautatoboa ni vile utaratibu wa upatikanaji kazi umekua mpka connection. Muulize mtu aliemaliza chuo mwaka huu kama ana logbook ake akupe ukopi kazi zake alizokua anafanya uziandike ila itahitajika...
  3. muneera75

    Wanachuo pitieni hapa mnipe mbinu mwenzenu

    Kozi gani upo then i will tell you what to do dear.
  4. muneera75

    Hii imeniuma balaa! Wanawake Mungu anawaona...

    Uyo mwamba ni ww ila pole
  5. muneera75

    Wanawake mtujibu leo, kwanini mnatembea na mafuta ya mgando kwenye pochi zenu?

    Mafuta ya mgando yanasaidi kuondoa weusi wa mdomo na kufanya midomo kua laini sana na inakua sexy. Ukipaka usiku ndo kabisaaa kwa siku 14 midomo yako inakua laini
  6. muneera75

    Natafuta kibarua cha miezi mitatu tu

    Sitakaa mda mrefu.
  7. muneera75

    Nafasi ya kazi ya muda (temporary)

    Wapi? Maeneo gani
  8. muneera75

    Natafuta kibarua cha miezi mitatu tu

    Habari zenu, Jamani mi natafuta kibarua cha miezi michache miwili au mitatu tu. Nishamaliza field nimekaa tu home kurudi chuo ni mpaka mwazi wa tatu mwishoni. Sasahii hali ya kukaa nyumbani tu hufanyi chochote na maisha ni magumu sana. Nilikua naomba mwenye connection yoyote hata dukani naweza...
  9. muneera75

    Naomba kazi Wakuu wangu mwenye connection

    Wengine ndo tunaenda kumalizia mwaka wa tatu kozi hiyo hiyo hali ni ngumu mno
  10. muneera75

    Tabia zipi huzipendi kwa ndugu yako, mpenzi wako, rafiki yako au hata mzazi wako?

    Mimi wangu ni muongo anasema ananitumia ela afu hanitumii
Back
Top Bottom