Hifadhi ya mikumi moja ya changamoto zake ni hiyo ya wasafiri wanaotumia barabara hiyo wanapata fursa ya kuona wanyama bure kabisa ni changamoto ambayo walishaainadili na kupendekeza wakusanye kodi kama unavyosema muanzisha mada,sasa barabara ile inatumiwa na nchi jirani kusafirisha mizigo yao...
So u amaana kuwa hitimisho la op muungano baada ya op zingine kusomwa wewe unaujua????acheni mambo yenu yakubisha jeshi linataratibu zake pia huenda op muungano wameandaliwa utaratibu WAP coz idadi yao yajulikana so time will tell...... Harafu wasomi kuachwa na kuchukuliwa wasiowasomi wanajua...
Acha utoto BT we unataka was elimu ya juu tu ndo wachukuliwe awamu hii mahitaji take ni hayo ya elimu ya juu kidogo na elimu ya chi ni wengi so hakuna tifauti kwa kuwa jkt wa elimu ya chini ni wengi sana kuliko was elimu ya juu so haya kiasi walichochukuliwa hakitishi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.