Kosa kubwa alilofanya CR7 ni kukubali kwenda kwenye WC 2026 kama mchezaji tegemeo wa kikosi cha taifa lake. Alikua na machaguo mawili, asiende ama aende kama FAZA anaeingia dakika za mwisho kuonesha kuwa nae pia yupo ili ikitokea wameshinda avae medali.
Sikuzote binadamu huangalia mwisho wako...
Hivi kinyume na maumbile huwa inamaanisha nini? Ni sawa kusema mwanaume kaingiliwa kinyume na maumbile! Sehemu sahihi (ambayo sio kinyume) ya mwanaume kuingiliwa ni ipi?
Tukiachana na hilo, hadithi yako ina ujumbe muhimu sana kwa jamii na wazazi. Zamani wazazi wetu walikua wanafuatilia aina ya...
Kuna watu wamesambaza huduma huku Mwanza, nilidhani TTCL nikaomba mtu awafuatilie maana nguzo yao ipo jirani sana. Jana nimeambiwa wamekuja, lakini wanadai wao si TTCL wala Halotel, wamesema jina lao ni MWANZA SERVICES nadhani, kuna anaezifahamu huduma zao hawa wadau?
Inafikirisha sana, nakumbuka kuna kipindi Magufuli aliwasema sana BOT kwa kitendo cha kutunza pesa za kigeni badala ya kuweka hifadhi ya dhahabu ambayo siku zote inaongezeka thamani.
Sasa inakuwaje kukawa na hiyo sheria ya bodi inayoweka kikomo ilhali tulitaka tuende kwenye shehena kunwa kama...
Inategemea na tafsiri yako ya mchimbaji mdogo, kama unamaanisha wale wanaozama kupiga Moko na Bambam na Manyani wanaozamia duara zenye uzalishaji kuiba mawe yanayobebeka mfukoni ndio wachimbaji wadogo basi upo sahihi kusema hawatajiriki kwasababu wengi hawana mentality ya kutajirika bali kupata...
Nakumbuka kwenye kikao cha kwanza tangu kupewa nafasi ya Uenyekiti Ndugu Samia aliahidi wajumbe kuwa hili halitatokea tena, akapendekeza mchakato wa kamati kuu uwe kabla ya kura za maoni. Baada ya kura za maoni ni Halmashauri za wilaya na mikoa tu.
Nimeshangaa kusikia bado utaratibu upo, hata...
Kahama wasingeweza kumchagua Lembeli, na ndio maana hata baada ya kurejea CCM amekua akibwagwa mara zote.
Ungeongelea enzi za akina Ezra Machogu na akina Bobson ningekuelewa, lakini kusema Lembeli alishinda akaibiwa kura ni kujidanganya. Hakubaliki hata kidogo.
Asante kwa marekebisho kuhusu wapi itikadi ya ujamaa tuliipata. Lakini pia naomba ufahamu kuwa Katiba yetu imebainisha wazi kuwa sisi n wajamaa.
Sura ya kwanza, Ibara ya 3 kifungu cha 1 cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1977) pamoja na mabadiliko yake yote.
Inatamka rasmi kuwa ni...
Nadhani kuibuka kwa hilo kundi la chawa kutakua kumechangia hili tatizo kweli, all in all kama waliomo wameridhia na wanashangilia matokeo yakitoka, basi ni vema.
Lakini nikikumbuka zile enzi lazima tupite kwanza Chipukizi ndipo tuhamishiwe UVCCM naona kabisa sasa chama kimekengeuka.
Kwani katiba yetu inatamka Tanzania ni aina gani ya taifa? Kama tumetaja ujamaa basi tayari tumeshawishika na Mrusi.
Nadhani kilichomnyima nafasi ya kuwa na nafasi ni imani tulizoletewa zilitoka kwa wazungu na waarabu, ndio maana majina yao yametawala.
Inatokeaje mtu anachukua kadi ya uanachama mwaka huu, anapitishwa kwenye mchakato na kisha kupewa jukumu kubwa la kuwakilisha vijana wa CCM (maana hawawakilishi vijana wengine)?
Kuna vijana ndani ya chama wamekitumikia tangu watoto, wamekitolea jasho kwa uwezo na akili zao, wanakipambania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.