Recent content by Munambefu

 1. Munambefu

  Makamba, unatumia muda mwingi kujibrand kuliko kupambana na mgao umeme

  Ulitaka umuone kaning'inia kwenye nguzo ya umeme ndio ujue anapambana
 2. Munambefu

  Wazee wa kichaga wamtaka Dkt. Kimei kuomba radhi na kufuta kauli yake

  Mbona hujaweka credit hata moja mkuu au sisi ni nonsense
 3. Munambefu

  Lema: Wachagga tuna msemo unasema "Siyo rahisi kumuona shetani anavyokuja bali utamuona shetani anavyoondoka"

  Hayo mawili hasa la ndoto ni ya maana kuliko yoyote uliyowahi kuandika ama kusema katika Jamhuri hii
 4. Munambefu

  EWURA: Taarifa kwa umma kuhusu bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia 1 Desemba 2021

  Ukisoma comment nyingi utagundua watanzania wengi ni nonsense kabisa. Bei ya mafuta ikipanda kwenye soko la dunia imekuwa influenced kivipi na serikali? Je serikali iondoe tozo kwenye mafuta pindi yanapopanda bei huko duniani ili kuwafurahisha wananchi lakini ishindwe kutekeleza miradi kama REA...
 5. Munambefu

  Rais Samia: Haikuwa na maana kuchoma vifaranga wa kuku mpakani

  Yani kuna Watu wana roho kutu ya mauaji kuanzia kwa binadamu wenzao mpaka kwa ndege. Ahimidiwe Mungu bwana wa Majeshi
 6. Munambefu

  #COVID19 Wizara ya Afya: Kuna tishio la Wimbi la Nne la Virusi vya Corona

  Ni dua yangu kwamba wimbi hili lipite na "shahidi wa serikali"
 7. Munambefu

  Rais Museveni ametumia gari lake kwenye ziara yake Tanzania?

  Yani museveni anajifanya bepari kufadhili ujenzi wa shule Chato wakati uwanja wake wa ndege mchina anaumiliki muda wowote kwa kushindwa kulipa deni.
 8. Munambefu

  TBS na Wafanyabiashara Hawawatendei Haki Watanzania

  Sioni mantiki ya malalamiko ya waswahili kwa sababu sisi Tunapenda bidhaa za bei rahisi pengine ni kulingana na uwezo wetu. Nchi ambayo bado mitumba hata ya taulo, vyupi nk ni dili ni nchi masikini na yenye Watu wasiojitambua. Kuwauzia bidhaa feki haiepukiki Ni lini ulinunua tishet 60000?au...
 9. Munambefu

  Kumbe tunaachana na Maamuzi ya Hayati na kufanya aliyoyakataa ili tupate kirahisi Pesa za Mabeberu na watufanye watakavyo?

  Bora beberu anayetoa na kukupa masharti ya demokrasia na kusomesha wazazi kuliko Mchina anayekupa bila hayo masharti lakini mwishoni anachukua sehemu ya nchi kuimiliki
 10. Munambefu

  Wakili Chavula: Watake wasitake wakili wa Jamhuri ni Wakili wa Mahakama

  Sasa nimegundua kwanini kesi nyingi serikali huwa inashindwa, mawakili wa serikali ni viazi mbatata kabisa, hawawez kujenga hoja kabisa
 11. Munambefu

  Yaliyojiri Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, kesi ya Mbowe na wenzake 3 - Kesi imeahirishwa hadi Nov. 29 2021

  Kwa mara nyingine tena Leo jaji anasogezwa kwenye angle ngumu kupindua meza, hii ni kutokana na jaji kutupilia mbali mapingamizi kadhaa ya upande wa utetezi huko nyuma kuhusu kupokelewa kwa nyaraka /barua za upande wa serikali. Kanuni ya functus officio inamkaba jaji hawezi kurudi nyuma kuamua...
 12. Munambefu

  Uwanja wa Entebe kuchukuliwa na China kwa ajili ya Mkopo, Mashabiki wa Bagamoyo kaeni mkao wa kula

  Nafikiri kiingereza hakijamnyookea sana mleta mada Ni wapi waliposema uwanja huo unachukuliwa? Kwa maelezo bado Uganda hawajashindwa kulipa deni, wanacholakamika ni kubanwa kwenye mapato na matumiz (budget) jambo ambalo nafikiri liliwekwa kusaidia urejeshaji salama wa mkopo ukizingatia akili ya...
 13. Munambefu

  Uwanja wa Entebe kuchukuliwa na China kwa ajili ya Mkopo, Mashabiki wa Bagamoyo kaeni mkao wa kula

  Magufuli alikupa huo mkataba ukausoma? Alikuwa mkweli kiasi gani? Maneno na mawazo yake ni msaafu?
 14. Munambefu

  Utani wa Profesa Ndalichako dhidi ya utamaduni wa taifa letu

  Yani Wewe mwanamke aliyezaa akisoma inakukera nini au inakupunguzia nini? Chuki, roho mbaya, wivu na pengine uchawi tu, na ndio ilikuwa sifa kuu za huyo mwamba wako
Top Bottom