Recent content by Muna117

  1. M

    Vivuko vya Busisi na Kigongo wafanyakazi wake ni majipu

    Busisi na kigongo ni ng'ambo mbili za nchi kavu
  2. M

    Vivuko vya Busisi na Kigongo wafanyakazi wake ni majipu

    Mara kadhaa nimekuwa nikivuka kwa kutumia feery za busisi/kigongo, huduma ni mbovu sana kunauchereweshwaji wa makusudi, wafanyakazi ni majipu yanastahiki kutumbuliwa wana viburi sana. Mara nyingi inapokuwa usiku utendaji wao unakuwa mbovu sana, mnaweza kusubiri kuvuka hata masaa 3 au 4, au...
  3. M

    Trafik Geita wembe ni ule ule, Kamanda Mpinga tumbua majipu

    Duh! Hapo kazi, majibu yamekomaa
  4. M

    Trafik Geita wembe ni ule ule, Kamanda Mpinga tumbua majipu

    Nililipa kuichangia serikali maana alinipa na notification, ingawa nilipo muomba risiti alisema mpaka turudi geita kwa muhasibu au nimpe namba yangu ataituma central police Mwanza. Unajua hizi tochi za sasa kama ikisha kumulika tu hawana uwezo wa kuifuta mpaka katika server yao, ndio maana yale...
  5. M

    Trafik Geita wembe ni ule ule, Kamanda Mpinga tumbua majipu

    Mbali na jitihada mbali mbali zinazofanywa na serikali kuondoa rushwa na kuongeza mapato serikalini, lakini bado trafic wetu nao wanabuni mbinu mbali mbali kuhujumu mapato ya serikali na kujiongezea kipato isivyo halali. Serikali imehakikisha inanunua kamera kuzibiti mwendo (Tochi) kwa ajili ya...
  6. M

  7. M

    Wakuu naombeni msaada wenu

    Huyo mwenye hiyo gari nimeokota document zake
  8. M

    Wakuu naombeni msaada wenu

    Jamani namtafuta mmiliki wa Gari namba T884 DDE TOYOTA NOAH.
  9. M

    Kama umepangiwa Bukoba mjini ama unafanyakazi huko soma hapa

    Naomba namba ya simu ya mwenye nyumba
  10. M

    Siri ya Kalenga CHADEMA yafichuka

    Fred hivyo visingizio, watanzania na umasikini wawo lakini wapo macho wanajua kuchambua chuya na mchele, chadema si chama cha kuongoza Tanzania, kinamabo mengi ya kutugawa, udini, ukabila, ukanda, uroho wa madaraka na ufujaji wa pesa CDM ni hatari
  11. M

    Siri ya Kalenga CHADEMA yafichuka

    Duh! CDM wamejichimbia kaburi wenyewe, uroho wa madaraka wawaponza
  12. M

    Yaliyojiri Kalenga: Uchaguzi wa Ubunge - Machi 16, 2014

    Hao viongozi ndio tatizo kubwa wanachadema wabwageni hao mboowe nna risilaha
  13. M

    Yaliyojiri Kalenga: Uchaguzi wa Ubunge - Machi 16, 2014

    Mi siamini chadema wameshindwa? Kama ni kweli nawapongeza Watanzania chadema ilikuwa inakuja kutumaliza na ubaguzi, ukabila na udini, ni chama hatari sana, tukiogope kama ukimwi
  14. M

    kura ya maoni; Zitto vs Mbowe

    Zito kiboko
  15. M

    kura ya maoni; Zitto vs Mbowe

    Ni kweli jamii f wote wachaga
Back
Top Bottom