Vivuko vya Busisi na Kigongo wafanyakazi wake ni majipu

Muna117

Member
Dec 31, 2012
20
1
Mara kadhaa nimekuwa nikivuka kwa kutumia feery za busisi/kigongo, huduma ni mbovu sana kunauchereweshwaji wa makusudi, wafanyakazi ni majipu yanastahiki kutumbuliwa wana viburi sana. Mara nyingi inapokuwa usiku utendaji wao unakuwa mbovu sana, mnaweza kusubiri kuvuka hata masaa 3 au 4, au wakifika wanalala mida ya saa sita, mpaka saa kumi alfajir ndio wanaamka kuwavusha na wakati wanatakiwa kufanya kazi masaa 24.
 
Back
Top Bottom