Recent content by mumuma

  1. mumuma

    JamiiForums Tanzania Dalili kuwa mtoto wako anatumika kingono

    Hata kwenye nyumba za ibada hakuaminiki
  2. mumuma

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

    Usiombe kuvamiwa na majambazi , nilikuwa Moçambique mji mmoja unaitwa Cumba,au kwamba.kisa kilianza hivi mwenye nyumba aliniambia anataka kuivunja nyumba yake ilikuwa iko kalibu na njia ya treini na alishalipwa pesa,tukakubaliana basi nitaamia banda la uwani ingawa lilikuwa halina mlango kwa...
  3. mumuma

    JamiiForums Tanzania Jamani eeh msaada ndugu zangu

    Write your reply...chukua Cocacola mimina kwenye kikombe tia chumvi kijiko kimoja na nusu cha chai halafu kunywa,haitachukua mda litafunga
  4. mumuma

    JamiiForums Tanzania Nahitaji usafiri wa kusafirisha mizigo Dar-Mbeya

    ungejitambulisha uko maeneo gani,ingekuwa rahisi zaidi kukusaidi
  5. mumuma

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Ndugu yangu mungu yupo,na wapo watu waliyokuwepo wabishi kabla yako,na historia zao zipo
  6. mumuma

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    kweli dini ni ngumu kama ukisoma kitabu kimoja,utabaki kusikiliza maneno ya watu,lakini dini nyepesi kama utasoma vitabu vyote vya Mwenyezi mungu pasipo kuchagua,ndio maana Leo watu wanafwata yaliyoanzishwa na mwanadamu yasiyokuwa na historian yoyote ile pole sana ndugu yangu. Unaijua miezi...
  7. mumuma

    JamiiForums Tanzania Hivi ushawahi kujiuliza hili??

  8. mumuma

    JamiiForums Tanzania Jambo gani la kuaibisha lishakutokea mbele ya kadamnasi ya watu!!?

    umenikumbasha mbali sana,nilienda hotel moja Brantire nikakuta wenye hotel wanaongea kireno,basi na Mimi nikawasalimia kwa kileno ingawa lugha yenyewe nilikuwa siijui vizuri,basis muhudumu alipokuja akaniuliza utakula chakula gani? nikajibu kwa haraka ugali na wali,nikaona muhudumu ananishangaa...
  9. mumuma

    JamiiForums Tanzania Polepole: CCM ni Chama Cha Mungu wa Mbinguni

    Mungu huwa hataki katiba huru,tuangalie tunayoongea tusimzihaki mwenyezi Mungu
  10. mumuma

    JamiiForums Tanzania Mtandao hatari wa kutapeli watu fedha

    kwanza ukienda kumshitaki polisi imekula kwako unaingia katika kesi ya uhujumu uchumi, ni selikali halali tu yenye mamlaka ya kutengeneza pesa,hapo inabidi ukalilie maumivu chooni,tena kimyakimya
  11. mumuma

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe wa wizi akamatwa kachinjwa nyumbani kwa mtu

    najaribu jinsi ya kutuma picha nashindwa
  12. mumuma

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe wa wizi akamatwa kachinjwa nyumbani kwa mtu

    yaani kuna watu wameibiwa ng'ombe wao kijiji cha mgongo usiku wa leo wakawa wanafwatilia miguu ya ng'ombe,wakaikuta imeshia nyumbani kwa mtu,kuingia ndani wanamkuta ng'ombe wao kachinjwa na alishaanza kuchunwa,
  13. mumuma

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe wa wizi akamatwa kachinjwa nyumbani kwa mtu

    hili tukio limetokea Iringa,kihesa kata ya mtwivila
Back
Top Bottom