Nahitaji usafiri wa kusafirisha mizigo Dar-Mbeya

Nahitaji usafiri wa kusafirisha mizigo Dar-Mbeya

bagabe

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2014
Posts
540
Reaction score
670
wakuu..wapi ninaweza pata usafiri wa kampuni yeyote ya kutuma mizigo toka Dar kwenda Mbeya iwe lori au usafiri wowote rahisi..mizigo hiyo ni vitu vya ndani k.v fridge,masofa,kitanda etc..Naombeni msaada wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ungejitambulisha uko maeneo gani,ingekuwa rahisi zaidi kukusaidi
 
Ulizia Born City office Kariakoo au nenda Jangwani au Gerezani utapata malori yanayoyafuta mizigo kupeleka bara
 
Nenda Kimara Baruti ukavizie gari zinazorudi Mbeya alafu hazina mizigo utatajiwa bei ya kitonga lakini ukienda kidongo chekundu au kwenye ofisi za Darlux & Rungwe utapigwa hela ndefu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakuu..wapi ninaweza pata usafiri wa kampuni yeyote ya kutuma mizigo toka Dar kwenda Mbeya iwe lori au usafiri wowote rahisi..mizigo hiyo ni vitu vya ndani k.v fridge,masofa,kitanda etc..Naombeni msaada wenu

Sent using Jamii Forums mobile app

Mnazi moja jirani na New Ushirka Bldng, zipo Offices za Mawakala wa usafirishaji mizigo kwenda ktk Mikoa hiyo.
 
Back
Top Bottom