Mtandao hatari wa kutapeli watu fedha

Mtandao hatari wa kutapeli watu fedha

ile siku ya kwanza ni kweli zilikuwa hela?
Siku ya kwanza wanapokufanyia demonstration zinakua ni pesa halali kabisa mkuu. Na mimi kwa ushauri wangu "wakikutengenezea" hizo pesa za maonyesho mara ya kwanza wewe wape tamaa kua kuna mzigo mkubwa sana unataka waubadilishe kisha zichukue hizo walizokutengenezea zichukue halafu usiwatafute tena!

Watakapo kufata weka mtego wa polisi ili sasa pesa watoe wao
 
Mtu yeyote anayetapeliwa kwa hii njia ni zwazwa na anapaswa aliwe hadi akauke.
 
Mjini Shule! Pesa inatafutwa kwa kila njia.
 
Hiyo inaonekana dodoma ss afazali hao kuna wengine nimeona face book wameweka picha ya mo deuji aise eti tuma laki wanakukopesha milion ukituma miliona wanakupa milion kumi wameweka namba za sm ukipiga wanapokea ila ni matapeli aise!!!
 
kwanza ukienda kumshitaki polisi imekula kwako unaingia katika kesi ya uhujumu uchumi, ni selikali halali tu yenye mamlaka ya kutengeneza pesa,hapo inabidi ukalilie maumivu chooni,tena kimyakimya
 
Matapeli hawa wanatumia kiinimacho na uchawi, Kwahiyo ni jambo gumu sana
 
Hivi unatapeliwaje Kijinga Hivi.. Ila Kama Wanatumia Uchawi sawa
 
kwa mtu mwenye akili kama mimi hao nitawawekea mtego wa askari, wataenda korokoroni tu
 
msipende kutumia njia za mkato kutafuta mafanikio, hapo wote wanatumia shot I kati kutaka utajiri sasa lazima mmoja alizwe.
 
Mtu mpaka karne hii unaambia tunazalisha pesa na wewe unakubali...? Kweli ignorance is a choice
 
Wajinga hawaishi abadan....wabongo kwa kitonga! wacha mpigwe tu hamna namna
 
Moja ya mbinu za kuepuka kutapeliwa ni kutoamini njia yoyote ya kukupatia pesa nyingi kirahisi na kwa ghafla. Tamaa iliua fisi.
 
Ili usitapeliwe amini kwanza hakunaga pesa rahisi...
 
fb_img_1543872047163-jpg.955180
Hajatiwa nguvuni bado anasubiri nini!?
 
Back
Top Bottom