Recent content by mums

  1. mums

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoa ufafanuzi nyongeza ya mishahara, yaomba wafanyakazi watulie

    Ndugu kwakweli hawajafanya vizuri Mimi hata shilingi hamsin sijapata na mshahara wangu ni mdogo daah! Tutafute vingine vya kufanya mtumishi wa Umma Hana thamani.
  2. mums

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Watu wa Makao Upanga na Makao Oysterbay wao siwasikii wakilalamikia nyongeza hii 'Kiduchu' ya 23.3% ya Mshahara?

    Wengine hatujapata kabisa na mishahara midogo mshukuru hata mliopata kuduchu.
  3. mums

    JamiiForums Tanzania UTAFITI : Wanawake wanapenda kujifungua kwa 'Operation'

    Ni balaa jaman sio kwa maumivu yake mmmh
  4. mums

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Rais wa Falme za Kiarabu

    Hata wewe umeiga za wazungu
  5. mums

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

    Loli lililobeba Contena liligonga Noah Kisha kuangukia gari aliyopanda Pro sasa hapo dereva wa SU amekosea nini?
  6. mums

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kukatazwa kula chakula ugenini Hadi baba/mama mwenye mji afike?

    Duuh poleni sana
  7. mums

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kukatazwa kula chakula ugenini Hadi baba/mama mwenye mji afike?

    Eti unakuta wageni wanakaa na watoto hadi wanasinzia kisa eti tumsubiri baba arudi ndio wote mle chakula utasema huyo baba kawabebea matumbo Mimi sipendi kabisa watu wenye hii tabia.
  8. mums

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye hizi tabia wanastahili heshima sana na kuthaminiwa

    Hii Huwa tamu sanaaaaa
  9. mums

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kula ada ya shule/chuo? Tuambie uliirudishaje

    [emoji23][emoji23][emoji23] Mzee katisha
  10. mums

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kula ada ya shule/chuo? Tuambie uliirudishaje

    Papuchi Dili inajenga mpaka nyumba[emoji23][emoji23]
  11. mums

    JamiiForums Tanzania Nimevurugwa na nilichokiona, naombeni msaada wenu

    True
  12. mums

    JamiiForums Tanzania Vibweka nyumba za kupanga, unakumbuka nini?

    Hadi nimecheka duh!
  13. mums

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyuma ya Pazia: Nini hasa kinafanya wanawake walioolewa au walio kwenye mahusiano serious kuchepuka?

    Umenena vyema sana
  14. mums

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyie mnapotupangisha Waume zenu katika Nyumba mlizojengewa na Hawara zenu huwa mnatuambia?

    Hii ndio dawa Yenu maana hamueleweki wacha na sisi tuchangamke
  15. mums

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?

    [emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom