Ukiangalia vizuri, hata huko unakodhani una uhuru, kuna muda lazima ujiamrishe tuu wewe mwenyewe kufanya mambo flani yanayokuhusu, unajipa amri wewe mwenyewe na usipoitekeleza basi mambo yako lazima yaende kombo. Bado ni mle mle tuu kwamba kuwajibika na kutii amri yako mwenyewe (kama wanajeshi...
Linao watu muhimu ndugu, ndio maana wataalamu wanaohitajika huko huwa wanafanyiwa usaili wa kujiunga na JWTZ moja kwa moja. Hizo za kusema "jeshi halina watu muhimu" zinabaki kuwa siasa tuu za maneno, ila uhalisia ndio huo.
Huyo waziri lazima alindwe na askari kijana. Mwenyezi Mungu amempatia karama tofauti kila mmoja wetu, wote tukiwa mawaziri nani atailinda nchi yako dhidi ya uvamizi wa adui ? Nani atatibu wagonjwa ? Nani atakuwa raia ? N.k Ndio hivyo wewe unavyopenda uwaziri, wenzio wanapenda jeshi. Wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.