Mimi najiungaga hichi kifurushi 10GB, ila hazijawai kumaliza mwezi mi nashangaa..ni wiki mbili na nusu tuu wananiletea msg nimebakiwa na 0mb.
Sijui wananiibia.
Daaah!..uyo dada jamani. Ameapa bora aolewe na PUNDA/NYANI kuliko GUDUME, then anamhisi GUDUME ni Mkurya, implication ake ni kwamba hao Nyani/Punda ni bora kuliko wakurya..kweli asee!!! Kama ni kweli, basi atakuwa ametukosea sana sana.
Kwan kuna mitaa mingapi hapa Tanzania ambayo haina majina rasmi? Haitoshi kuwaita hao wote ulowataja?? Na mbona siku zote huo mtaa ulikuwepo na msiuite majina ya hao ulowataja? Leo kuitwa jina la uyo jamaa ndo mnakumbuka ka mngweza kuwaita hao ulowaorodhesha?? Acheni roho za kwanini na siasa za...
Bro una mawazo mapana sana. Swala ni logical ka hio tuu wala uzawa hauna nafasi hapo. Tuna mitaa mingi Tz yenye majina yasiokua ya wazawa..tunapungukiwa na nini kwa hilo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.