jimmy jay jay
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 223
- 39
- Thread starter
- #41
NipigieMkuu sofa kula 130,000 nije chukua mzigo kesho
NipigieMkuu sofa kula 130,000 nije chukua mzigo kesho
Bado mitatu ama bado minane!!..we yani ka ndo mtoto anaingia std1 now subiri adi siku ukimwona form 1.Ndio kwanza mwaka wa pili bado mitatu. Pole mdau!
Na kuna:stabilizer=80000/=,
Kettle. =12000/=;
Fan. =30000/=;
Shade light=50000/=;
Pasi. =15000/=;
Decoder. =30000/=
Contact:0652002828![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
PoleDar kwa vile upo dar,, nilijuwa mwanza au kahama, ninge nunua friji
Mbona friji halina vinywaji/
.ukinunua kondom unataka na demu hapo hapo?Hujaona chupa ,mbili za maji?Mbona friji halina vinywaji/
Hahahahhaha....!!!Ndio kwanza mwaka wa pili bado mitatu. Pole mdau!
Hahahahhaha....!!!Ndio kwanza mwaka wa pili bado mitatu. Pole mdau!
Hahahahhaha....!!!Ndio kwanza mwaka wa pili bado mitatu. Pole mdau!
Sijawahi kufulia mpaka kuwaza kuuza vitu vya ndani aisee...wengine ni tabia tu kuuza uza...Pole mkuu kwa matatizo, nimejikuta nakumbuka wakati mgumu ambao nilipitia kipindi fulani! Naamnin huu upepo utapita
Mkuu sofa ushauza?Hapa nataka hela kwa hio nimeamua kuuza sofa langu na fridge bei sofa ni 160000 na fridge ni 150000.contact 0652002828
sofa safi sana hii, utauza fasta