Hata wewe mwenye gari ndogo ukiwa mbele tayari na unatembea speed ya 80 na mwenye scania yupo nyuma anatembea speed ya 80 pia nae hawezi kukupita mana wote mnatembea speed sawa, ili akupite anapaswa atembee speed kubwa zaidi kuliko wewe, and the vise-versa is true!
Utanzania kwakweli ni mzigo, yaan wewe ktk andiko lote ulichoona ni hilo neno binti tu na ukaja kulizungumzia hapa. Content ya andiko hata hukuielewa!! Familia unayoiongoza kazi inayo!!
McTominay kwangu mimi ni bora kuliko uyo rice, lkn kwa kua ni mwingereza watamnunua tena kwa garama kubwa tu thn ajabu atakuja kumpigisha McTominay bench. Uyu dogo McTominay ameshajiprove ni bs tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri tunatofautiana sana namna tunavoangalia mpira na kuutafasiri. Kwangu lakaku ni bora sana kwasababu ana_offer vitu vingi sn uwanjani, anasimama kama main man pale mbele na akiwepo beki hazina amani, anatokea pembeni na analeta cross za mana kana kwamba ni natural winger. Yupo physical na...
Nilikua shabiki mkubwa sn wa Ole kutaman apewe team, lkn kwa jins anavomtreat lukaku ata sina hamu nae tena, lukaku anafanya kazi kubwa sn hata kuliko alipokuwepo mourinho, lkn haka kazee ole ata hakamthamini. Anakiacha kilingard kinakata tu mauno mle ndani anamtoa mchezaji nje. Ivi ole...
Ole anamkosea sana lukaku kwa kuwa anamtia bench huku kirashford kinarukaruka tu kule ndani. Jana nimeumia sana kumwona lukaku anaenda nje huku rashford kimo ndani kinatoa tu macho!! Ole kama ataendeleza haya mapenzi ya kijinga simwoni akifika popote na hii team!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh nyie mashabiki bhana, uyo aguero ndo mpiga penati siku zote hapo city leo ulitaka apige nani sasa! Ulitaka pep aote kua leo atakosa ili abadili mpiga penati??[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.