Siasa ina sifa mbali mbali, pamoja na kuwa na maneno mengi na uongo mwingi sana.
Kwenye utekelezaji, yaani practice, siasa inajidhirisha kuwa kwanza haina marafiki wala maadui wa kudumu. Lakini, siasa hio hio, ina maslahi ya kudumu.
Sera za Siasa hubadilika kutokana na mazingira na hivyo...