Dear President, a letter from a University Graduate

Dear President, a letter from a University Graduate

You are not clear what actually do you need from our president?
 
Uliyemwandikia hiyo lugha haijui! Na wewe ulieandika kuna makosa mengi sana ukisoma hilo bandiko lako utaligundua hili.
Hata hivyo hongera kwa kuwa content inaonekana.
 
Nimesoma mara 6 nikaona sielewi nikajisemea kimoyomoyo mbona nikiongea na wazungu naelewana nao inakuaje hii post ya JF sielewi au akili yangu imelewa pombe.

Ndipo nikaamua kusoma comments na kukuta kumbe siko peke angu ambae sijaelewa kiingereza cha mtoa mada
 
Wakuu hii post itakuwa ina mwendelezo tusubiri maana barua imeishia njiani
 
Huyo uliomtumia huu ujumbe "Dear President" sijui kama ataelewa hii lugha.

Maana English hajui.
Wewe ni sawa na avatar yako walahi
Na nakuombea kwa Mwenye Enzi Mungu akugeuze fisi milele walahi
 
Mimi nilidhani kwa kuwa si mjuvi wa lugha ya malkia ndio maana sijaelewa kumbe hajaeleweka kwa wengi....
 
Ndo graduate wa Leo hawa jamani! Poor my country,
Afu ukute nae anataka kuwa Mwalimu.

Mulugo sijui aliipotelea wapi, alikuwa ametuua kabisa
 
Haro haro this is kitengo +255 haro haro your msg isn't clear haro haro try again back.
 
Hajakosea lugha...wengine mnashabikia huenda hamjui hata grammar!!!! Tatizo lake hajaonyesha tu kwamba anataka nini!!! Tuache ushabiki holela
 
Back
Top Bottom