Recent content by mulokozi senior

  1. M

    JamiiForums Tanzania Gwajima hakukosea juu ya kauli yake kuhusu uislamu huko Marekani

    Rafiki kwanza ujue Ukristo na Dini za wanaojiita wa Kristo ndipo uongelee hicho unacho taka kukisema sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Gwajima hakukosea juu ya kauli yake kuhusu uislamu huko Marekani

    Wewe ni stadi sana ila aliye lala, kwani wewe unatembea kwenye dhana wakati huo anaousema Askofu Gwajima ni utafiti na utafiti hupingwa kwa tafiti nyingine hivyo kukurupuka na kulopoka hapo umeonyesha hujielewi sir Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

    Rafiki unajua nini kwa kifupi kuhusu misukule! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Makundi ya kumsafisa RC Dar!

    Wewe ndio tumia akili ndogo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: 'Waandishi wa Makonda' kwenda Ziarani Koromije

    Hapa sanaa tu tumaini hakuna
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: 'Waandishi wa Makonda' kwenda Ziarani Koromije

    Hapa pana sanaa tu tumaini hakuna
  7. M

    JamiiForums Tanzania Video: Askofu Gwajima atuma pepo kwa 'anayesumbua Dar es Salaam', pepo lakataa na kusema haingiliki

    Msimhukumu mchungaji kwa hisia zenu kama hamtajali andiko hili mnaelewaje sio kutoa mapovu tu 2Nyakati 18:19-22
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wapi maendeleo ya chuma liganga-Mchuchuma

    Hapa Mungu tu aingilie kati ili Nchi inufaike na mradi huu maana historia kwenye miradi kama hii mikubwa Nchini kwetu imegeuka Laana badala ya Baraka.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nape tuoneshe bunge live kama walivyofanya watangulizi wako.

    Naomba Nape atuonyeshe mapato yatokanayo na kupiga mziki Tbc kipindi ambacho tungeona Bunge letu live lkn kingine kama kuna dhamira ya kweli ya kumsaidia mh. Rais kukusanya fedha kwanini isitumike Tbc 2 kuonyesha Bunge kwakuwa inaonyeshwa kwa kulipia Bando na kwasababu watu wanataka kuliona...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aombwa ikibidi alivunje bunge

    Vitu vingine kama huna hoja bora kuwa kimya mtoa mada uliisha fatilia ule muda wa ambao unadaiwa ni kubana matumizi huwa nini kinaonyeshwa Tbc? zaidi ya Music na ni shilingi ngapi music hiyo inaiingizia Tbc?, au unatumika mdogo wangu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini waruhusiwe kuoa wake wanne na sio waume wanne?

    Ni ushetani tu ulioitiwa ni taratibu za kidini ili kutetea uzinzi na uasherati kwani Mungu alipo muumba Adam na kisha kumletea msaidizi wake Hawa na mbona hakumletea na Aisha na Ummy na Husna na Hadija? hakujua anachokifanya mpaka eti wanadamu tena wenye dhambi ndio waje wafanyie marekebisho...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwanini mbwa hatumiwi na wachawi

    Kwa kauli hizi inaonyesha ni mnufaika sasa anapumbaza wengine ili wawashughulikie zaidi ila sisi tunaakili zetu timamu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Gwajima: Mahakama yatupilia mbali ushahidi wa mlalamikaji, Gwajima apeta

    Mnaodhani kuwa Bishop Gwajima atadai malipo yeyote juu ya kesi hii akishinda wala hana wazo hilo huyo ni Mtumishi wa Mungu hasa anazijua njia za Mungu waliomfanyia lolote wao wajiandae tu na Mungu kupokea ujira wao wala hakuna haja ya kuwaza/ kuhofu eti atafungua kesi ya madai la hasha...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Kuhusu MCC kusitisha msaada wa MCC 2 na shughuli zake Tanzania

    Umeenda mbali huko kwenye matangazo ya vyoo kutegemea wahisani halafu watu humu wakijidai kuwa tutaweza kwa kutegemea wanyamapori, madini n.k, huu ni Uzuzu kwani hata vita tu ya kupambana na majangili kwa wanyama wetu tunategemea Wahisani, madini waamuzi wa bei ni hao hao wanaoitwa wahisani...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Bagamoyo kutoka Morocco - Mwenge yaanza kutumika, foleni sasa kupungua

    Pongezi lakini ina changmoto kubwa sana kwani ni barabara tano zilizosambamba bila kitenganishi cha kati kinachozungukwa na tofali maalum(kerbstones) ili kumsaidia mwenda kwa miguu kuvuka kwa usalama lkn hata kusaidia ajali za magari za uso kwa uso kwani tunaelewa madereva wetu naomba Tanroads...
Back
Top Bottom