Nape tuoneshe bunge live kama walivyofanya watangulizi wako.

mdundo ngoma sana

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
1,002
955
Binafsi sija amini kama kweli mmeamua kutunyang'anya haki hii ya kuona uwajibikaji wenu bungeni.Siamini mpaka sasa.
 
kunawakati mnyonge atakuja kugeuka nakujibu mapigo.

watawala wajiangalie sana, maana wapo hapo walipo kwa kura zetu.

Tumewapa madaraka, na uongozi nidhamana....lakini wanaitumia vibaya fursa hiyo kiasi kwamba wamejisahau kabisa.
 
Naomba Nape atuonyeshe mapato yatokanayo na kupiga mziki Tbc kipindi ambacho tungeona Bunge letu live lkn kingine kama kuna dhamira ya kweli ya kumsaidia mh. Rais kukusanya fedha kwanini isitumike Tbc 2 kuonyesha Bunge kwakuwa inaonyeshwa kwa kulipia Bando na kwasababu watu wanataka kuliona bunge wangelipia kwa wingi na serikali ingepata pesa..
 
Kumkumbuka Kiongozi wa zamani sio lazima umtaje hadharani kwa jina. Ukimiss baadhi ya vitu ulivyozoea kuwanavyo kwny utawala wake ndio umemmiss yeye!! UKAWA wana miss Jakaya kuliko CCM.
 
Back
Top Bottom