Recent content by mullar

  1. M

    JamiiForums Tanzania Viettel Telecommunication Company

    Mkuu naomba mawasiliano yao niombe kazi ya udereva ajira hakuna mtaani.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva, elimu Kidato IV na cheti cha PSV

    msaada wa kazi kwenye makampuni,migodi,na watu binafsi uzoefu wangu miaka 2 , leseni class C,C1,C2,C3,B,D,E,F,G hata ukondakta niko tayari simu no 0764102926
  3. M

    JamiiForums Tanzania Madini chuma

    mkuu tunaweza fanya kazi pamoja
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mahindi yakosa soko, gunia Tshs 18,000/-

    mkuu huko bei ikoje
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wanatafuta kazi za kutumwa nje ya nchi.

    mkuu mwananchi ya ijumaa kuna nafasi 40 za madereva wa malori zimetangazwa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ndemwai utomvu wenye thamani kubwa ya dawa

    Kupata lita 20 ni kazi sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi ya udereva

    Asante kwa ushauri mkuu
  8. M

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi ya udereva

    wadau nimepitia mafunzo ya udereva (psv)nina leseni class C, elimu yangu ni form 4 nikotayari kufanya kazi sehemu yoyote natanguliza shukrani.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yutong Vs scania Vs ud

    Mkuu yutong za sasa nitofauti na za kipindi cha nyuma mchina anatengeneza vitu vyote isipokua engine na mfumo wote wa breki engine inatengenezwa na mmarekani na mfumo mzima wa breki ni mjerumani kwa kiasi fulani wameboresha product ya sasa na za nyuma kunautofauti mkubwa
  10. M

    JamiiForums Tanzania kwa anayeitaji laini za airtel money

    bei maelewano karibu sana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uuzaji wa viatu vya mitumba

    Unapatikana wapi mkuu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Udereva

    wakuu napatikana moshi elim0 level ninaujuzi wa udereva nina uzoefu wa miaka miwili lesence class b,d,e nikotayari kufanya kazi mkoa wowote.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja kilicho pimwa boma , njia panda moshi,mbwaruki,rau au msaranga

    Ukubwa wake na bei mkuu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kutumia ebay

    Shukrani mkuu
Back
Top Bottom