.njoo ukamate fursa huku wewe.ilikuwa zamani
Mkuu usimwamshe,watakuja chukua fursa zetu huku itakuwa noma.
.njoo ukamate fursa huku wewe.ilikuwa zamani
vp mkuu yale tuliyo wauzia hayakutosha?.
Yalitosha lakini naona sasa itabidi tupige deals hadi tuwauzie Sudan na kwingineko, sasa mbona mnapata hasara wakati kuna jinsi ya kupiga deals hadi mbali.

Mkuu siasa tuu ndio naafuu ya maisha,mwakani nagombea Sumbawanga mjini.
Naomba kazi ya umeneja kampeni
ukitaka kuwa tajiri nenda ukawe mbunge