Hawa jamaa na wafuasi wa ccm wanaonekana wavumilivu na wanademokrasia kweli kweli. Maana kama ungesema kwa mfano: "kuchagua chadema au CUF ni kuchagua udikteta" jiandae kusubiri matusi.
Amani iwe juu yenu (Bwana awa nanyi)!
Nimesikitishwa na neno "Dr. Slaa kuiba" kutumika hapa! Dr. Slaa ni mtu mtakatifu kwetu! Si kwetu tu kama waamini wakatoliki bali kwa watanzania wote ambao wako tayari kupoteza maisha yao ili kulinda jina lake mbele ya umma ambao unasubiri kwa hamu wakati...
Chagga Development Manifesto (CHADEMA) bado hakina uhalali wa mpaka sasa. Ni kikundi tu cha wapinga maendeleo kilichokuwepo hata kabla ya vyama vingi. Ni kikundi cha wasomi wa kabila moja ambacho kimo ndani vyombo vya serikali ambacho kimeweza kuteka akili ya watanzania ili kutekeleza lengo la...
Nimekuja wandugu, Tuepushe Mihemuko. Tukitaka hoja zetu zidumu na kuacha mnyororo wa historia isiyo laumiwa tusimame katika ukweli. Tusiogope polisi katika kusema ukweli bali tumuogope MwenyeziMungu ambaye hutuona tukiwa hadharani na mafichoni!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.