Recent content by mulenda's

  1. mulenda's

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe, mburuze mahakamani Lowassa kesi ya Richmond

    We mdanganye unataka kummaliza kabisa kisiasa.
  2. mulenda's

    JamiiForums Tanzania Nyumba za NHC hapa mjini kwanini Serikali isiweke sheria wakapangishwa Walimu Madaktari na M-nurse

    Mtatupiwa majini na wados hamta kaa kwa nyumba hizo ng'o!!? Chezea wados siyo!!?.
  3. mulenda's

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu apps ya ,,,MOBILE CHEATER SPY.

    Mie mwenyewe sina imani nayo na siamini kama kuna ukweli ktk hiyo issue ya TCRA kwa kuwa ni nje ya haki za binadamu, ninavyo jua kwa upande wangu kuhark sisyo kihivyo hadharani sasa hii nchi yetu itakuwa yakihuni, Ziko Apps nyingi hata mm ninayo na iko free na ninapata kila kitu kupitia...
  4. mulenda's

    JamiiForums Tanzania UKAWA wabadili gia angani, Rais Magufuli kutohutubia bunge

    Watu wengine humu bana eti walete ushahidi wa ushindi wao ndo maana masaburi anatukanaga watu hata katiba inayotuburuza hamuijui!.
  5. mulenda's

    JamiiForums Tanzania WanaCCM mmemsikia Dr. Masaburi?

    Malipo ni hapa hapa
  6. mulenda's

    JamiiForums Tanzania Mpasuko CCM, Kingunge, Nchimbi na Mwandosya kutimka

    Tunawakaribisha sana lkn wanapokuja huku wajue mapema kuwa huku mifumo ni tofauti kabisa:eek:
  7. mulenda's

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Slaa anapumzika, msiwe na hofu

    What we need ni CHANGES asiyekubaliana na sisi ahame tu, namkumbuka Fid Q "Mmoja anaingia mmoja anatoka"
  8. mulenda's

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mwapachu Kuhusu Lowassa

    L✌wasa ndo presida acheni watu wahangaike tu Mungu alimpa nafasi hiyo toka enzi na enzi.
  9. mulenda's

    JamiiForums Tanzania Namba za vitambulisho vya kupigia kura zinatafutwa sana

    Safi sana Gwajima
Back
Top Bottom