Recent content by MUL

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilikuwa naye kwenye mahusiano, kanikopesha ila nashindwa kumlipa maana sijui pa kumpata

    Mtafute ukimkosa mtunzie pesa yake, akipatikana utampa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kazi za ndani

    Vipi umeshapata? Kuna mdogo Wangu anataka. Kama bado sema nikupe namba yake uwasiliane naye. Age yake 26
  3. M

    JamiiForums Tanzania Utumishi wanamaanisha nini hapa?

    Hata Mimi. Linanipa kizungumkuti.. Maana hata mimi niliitwa kwenye tangazo lao la 9/12/2017 tangazo la 13/12/2017 jina langu halipo.. Sijielewi hadi saivi.. Nahisi kukata tamaa ya kwenda
  4. M

    JamiiForums Tanzania Katibu Tarafa, Utendaji wa Kata, Afisa maendeleo hizi kazi zimeishia wapi?

    Nimeshapitia, ndo nikagundua nafas ya Afisa Tarafa na mtendaji wa kata daraja la II Hazipo,
  5. M

    JamiiForums Tanzania Katibu Tarafa, Utendaji wa Kata, Afisa maendeleo hizi kazi zimeishia wapi?

    Naongelea zile zilizotangazwa na Utumishi , Na siyo zile za kwenye halmashauri, na kama wameshaajiri ni lini waliita interview? Mbona watendaji Wa kata III Na afsa maendeleo wameitwa leo kwenye usaili? Na zote zilitangazwa siku moja na utumishi .. Ikiwa wameshaajiri basi hii itakuwa kali kuliko..
  6. M

    JamiiForums Tanzania Katibu Tarafa, Utendaji wa Kata, Afisa maendeleo hizi kazi zimeishia wapi?

    Mmmmmhhh makubwa , mbona nafas ya mtendaji Wa kata II, afisa tarafa hawajaita kwenye usaili? Inakuwaje?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Fursa! Fursa nafasi ya kazi mdada msaidizi wa kazi mshahara tsh 80000/= kuendelea

    Yupo kahama vipi upo Tayar? Kama upo tayar ni pm
  8. M

    JamiiForums Tanzania Fursa! Fursa nafasi ya kazi mdada msaidizi wa kazi mshahara tsh 80000/= kuendelea

    Yupo kahama bosi vipi upo tayari?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mdada wa kazi anahitajika

    Upo mkoa gan nikuunganishe na binti?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujibu maswali 25 kwenye Oral Interview

    Thank uu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini friji langu limepungua uwezo wa kugandisha au kupoza haraka? Naombeni msaada

    Kwa hiyo litafanya kazi yake kama zaman au inakuwaje hapo bosi? Je kuhusu matumizi makubwa ya umeme yanaweza pungua? Au
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini friji langu limepungua uwezo wa kugandisha au kupoza haraka? Naombeni msaada

    Yaani lknaniumiza sana...hili suala maana naweka barafu zangu harafu hazigandi tena.. Lkn mimi cjawahi tumia kisu kubandua barafu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini friji langu limepungua uwezo wa kugandisha au kupoza haraka? Naombeni msaada

    Kuongeza ges je yaweza kugharim kias gani mkuu? Naomba msaaada
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini friji langu limepungua uwezo wa kugandisha au kupoza haraka? Naombeni msaada

    Sasa hiyo mitungi huuzwaje?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini friji langu limepungua uwezo wa kugandisha au kupoza haraka? Naombeni msaada

    Aksanteni nyote kwa ushauri wenu.. Vipi kuhusu hiyo gas inagharim kiasi gani?
Back
Top Bottom