Mdada wa kazi anahitajika

Mdada wa kazi anahitajika

Pesa 35,000/=kwa mwezi!!!???? Bado kazi km punda,,,mana kazi za kuuza chakula ni kuamka Alfajir kulala late,,,bado mtamwambia asaidie na za nyumbani,,,,, yani ndugu yangu siwezi mruhusu utapata lakini ana watu wanashida na kazi
 
tutamuongezea inaweza kufika 50000....lakini mpaka tujiridhishe naye kwanza......kuhusu kazi za nyumbani hakuna kazi za nyumbani kiufupi ataishi kama yupo kwao..
 
Pesa 35,000/=kwa mwezi!!!???? Bado kazi km punda,,,mana kazi za kuuza chakula ni kuamka Alfajir kulala late,,,bado mtamwambia asaidie na za nyumbani,,,,, yani ndugu yangu siwezi mruhusu utapata lakini ana watu wanashida na kazi
Kazi si nyingi sana mwisho ni saa 8 kazi za nyumbani anaweza asiguse hata kidogo...labda zile watakazofanya nyumbani kwaajili ya kuandaa biashara....nisaidie kama unaye msichana ataishi kama nyumbani...
 
Watu wa kazi hizo wanalipwa kuanziaTshs 3000 mpaka 5000 kwa siku. Pandisha dau nikutafutie wachapa kazi
 
Dau litaongezeka...istoshe atakaa nyumbani kwangu...wataishi kama kwao...baada ya miezi 3 nitaongeza hadi kufikia 60000....ila kwa sasa mshahara ni huo unajua wasichana wasikuhizu hawatulii
 
Kazi si nyingi sana mwisho ni saa 8 kazi za nyumbani anaweza asiguse hata kidogo...labda zile watakazofanya nyumbani kwaajili ya kuandaa biashara....nisaidie kama unaye msichana ataishi kama nyumbani...
Wako wengi ila watoto wa watu kwa mtu sijui noo,,,nadhani ningekushauri tafuta kupitia watu unaowafahamu kabisa ili kuondoa matatizo ,,si unajua siku hz watu wamekua waoga
 
Unataka msichana mzuri ongeza hela atleast elfu 60.kwa atakayekuwa anamuangalia mtoto na 50 kwa atakayekuwa anafanya kazi za kawaida
 
Kazi si nyingi sana mwisho ni saa 8 kazi za nyumbani anaweza asiguse hata kidogo...labda zile watakazofanya nyumbani kwaajili ya kuandaa biashara....nisaidie kama unaye msichana ataishi kama nyumbani...
Upo mkoa gan nikuunganishe na binti?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom