Recent content by Mukhabarat

  1. Mukhabarat

    Bukoba: Wanafunzi, Mwalimu na Mlinzi wa Shule ya Katoro Islamic, Wafikishwa Mahakamani kwa mauaji

    Unao ushajihidi wowote kuwa wanaofanya hayo mauaji ni wakristo??
  2. Mukhabarat

    Kiwanja kinauzwa Luguruni Makondeko

    hakina hati, na wala ujenzi wa stand haufanyiki maeneo yalipo kiwanja, ila kwa kujiridhisha unaweza kupata information kutoka serikali za mitaa, mjumbe wa eneo, ukifika ndipo utapata uhakika
  3. Mukhabarat

    Kiwanja kinauzwa Luguruni Makondeko

    ni walking distance haizidi nusu kilometa
  4. Mukhabarat

    Kiwanja kinauzwa Luguruni Makondeko

    Kiwanja kina ukubwa wa mita 25 kwa 40,kinafikika kwa gari bila wasiwasi, barabara inapita mbele ya kiwanja, nguzo ya umeme imesimikwa jirani kabisa na kiwanja,kipo kwenye maeneo ya makazi ya watu yaani wapo majirani walioshajenga na kuhamia, utakuwa jirani na stendi mpya ya mkoa itakayohamishwa...
  5. Mukhabarat

    Picha hizi hatuwatendei haki Polisi

    Pamoja na kuandika makala ndeeefu mimi wala sikuungi mkono naona kama umekurupuka tu. Uovu hauwezi kuondoshwa kwa kunyamazia kimya au kuuficha au kuubatiza jina zuri ili kuzuga watu, uovu utaondoshwa kwa kuuanika hadharani kisha kuulani na kuukemea. Na si busara kuacha uovu mwingine uendelee...
  6. Mukhabarat

    Kiwanja kinauzwa luguruni makondeko

    Ukubwa wa kiwanja ni mita 25 kwa 40, kipo luguruni makondeko.Luguruni makondeko ndipo ambako serikali imeamua kujenga na kuhamishia stendi ya mkoa ya ubungo, kiwanja kipo kwenye makazi ya watu, yaani kuna majirani walioshajenga na kuhamia,kinafikika kwa gari bila wasiwasi, barabara inapita mbele...
  7. Mukhabarat

    Mbowe, Zitto walipuka: Mkakati wa kuidhoofisha CHADEMA waanikwa

    kwa hiyo kwa akili za magamba usalama bora ni kusubiri madhara yatokee au kutoa ushauri kabla ili kudhibiti madhara yasitokee!!?
  8. Mukhabarat

    Mnyika na viongozi wapya CHADEMA-UK

    Mimi ni mpemba na ni mwanachama halali wa chama kubwa CHADEMA, karibu mbeya mafiati uone bendera kuuubwa ikipepea mbele ya biashara zangu, kabla hujaropoka fanya utafiti pia wapo jamaa zangu wapemba wapo sumbawanga kibiashara nao ni chadema, unalo la kusema hapo yakhe?
  9. Mukhabarat

    Maajabu ya herufi "k"

    Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania-KKKT
  10. Mukhabarat

    Huyu kwa Kiswahili anaitwaje?

    kama hana jina mimi nambatiza jina la chui milia
  11. Mukhabarat

    JF ninaomba sala zenu leo ni kura za maoni!

    Whaaat! umesomea meli? sijawahi kusikia mtu anasomea meli as meli bila specification! unaweza ukaniambia ni kozi gani ya meli ulichukua? navigation, marine engineering, ship construction or what? maana ukisema ulisomea meli it's too general na unatuchanganya, usije ukawa ulidandia meli halafu...
  12. Mukhabarat

    Only in Tanzania

    Ndugu nadhani uko kasi sana ndo maana umechemka, jaribu tena kupata muundo wa baraza la mawaziri mimi nadhani unataka kumaanisha waziri philip mulugo wa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi na si profesa muhongo wa nishati na madini,labda ututhibitishie ni wapi na lini huyu prof. muhongo...
  13. Mukhabarat

    Dr Slaa kutikisa Arusha Jumamosi

    1.Licha ya kuwa katika post yangu haioneshi kuwa nitahudhuria huo mkutano na sijui umepata wapi tafsiri hiyo, 2.Unasema hakuna jipya katika mikutano hiyo ,nitakuamini kama utanihakikishia kuwa ni wewe ndiye unayeandaa ajenda za mikutano hiyo. 3. Kwa kuwa shughuli yangu ni kuuza maji itabidi...
  14. Mukhabarat

    JK, Ki-Moon wateta mgogoro wa Malawi

    Huo ni uthibitisho wa kiongozi dhaifu na asiyejua wala kuweza kutetea mipaka ya nchi yake, inashangaza sana, kwani wakati anagombea urais na baadae kula kiapo cha kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ina maana alikuwa hajui mipaka ya nchi yake kikatiba? Kama ni kweli alisema anadhani...
Back
Top Bottom