Recent content by muke ya muhaya

  1. M

    Mama mtu mzima atembea nusu uchi barabarani bila wogo wowote akitafuta wateja wa kuwapa uroda

    Nilishakutana nae live pale biafra kinondoni na kiroba chake na sigara hahaaa tena nahs ndo siku alipigwa hizi picha
  2. M

    Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Duh kaka shikamoo!leo nimefirahi sana na hili somo na nimegundua nna hyo telepathy inshort maisha yangu yote huwa ninakuwa na nimtakae aisee naanza kufanyia kazi somo la leo
  3. M

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    Big up mhaya wangu kakataa katukatu japokuwa alikuwa mchangaji mzuri yetu haina michango ila watu 50 wenye bahati watajumuika nasi kwa dinner,kuchangisha ni lawama kwanza inabidi ujitahidi kuwaridhisha wageni wachangaji(japo ni ngumu)ila kama hujamchangisha mtu ukamuita aje ajumuike nawe labda...
  4. M

    Hivi mnasubiri wakenya na waganda ndo wajaze nafasi za azam media

    Ni kweli kuna kasintofahamu flan kwenye hizo kazi maana hata waliorekodi vipindi walitakiwa kulipwa ila kimya nao hawajui ila azam tv wameingia mkataba na leo media production ndo wanahusika na utengenezwaj wa vipindi vyote na bosi tayar ni mkenya
  5. M

    Tusker Project Fame 6

    mida ya saa tatu japo sometymez nasahaug kuangalia ila this week nikikumbuka ntakujulisha hapahapa,pia kule wanatafta vipaji mbalimbali sio kuimba tu kama ebss au tpf6
  6. M

    Hivi mnasubiri wakenya na waganda ndo wajaze nafasi za azam media

    hahahaaa ila kuna rafiki yangu kapata kazi ashaanza kurekodi kipindi cha reggae usaili aliitwa maeneo ya kwa mwalimu,ila sjui tangazo la kazi aliliona wapi ntamuomba maelezo halaf ntawawekea hapa muombe
  7. M

    Tusker Project Fame 6

    Ila mimi naamini vipaji vipo SA got talent inapatikana ETV siku za alhamis kama sijakosea
  8. M

    Hongera tido achana na serikali ya analojia! Online kama kawa!

    Washafungiwa hadi mtandaoni yani dah wenye nchi wamekaba hadi penati
  9. M

    Alshabab walifanikiwa kuondoka

    Duh kama ni kweli hali ni mbaya ila hao TBC habar hiyo wameitoa wapi?Sikumbuki kuona mwandishi wa TBc kwenye tukio jingine wale waliokuwa wanashambuliana ni wanajeshi wa kenya wenyewe kwa wenyewe au ndo mambo ya teknolojia al shabab waliwazidi maarifa?
  10. M

    Sikia Shilole na Sinta wanalumbana katika Take one

    pamoja na kwamba sintah ananiboa sana ila kwa hili shilole alivyojielezea dah yan kwenda America si mchezo kila la heri kwao wote peace and:love:
  11. M

    Dawa Ya Kiranja Mnoko Shuleni

    Mimi nlikuwa nadeki akajipitisha halaf mvua tope sasa jekunduu la moshi nikaroweka dekio vizuurii halaf nikamuwasha la mgongoni mwenyewe ashaulambia aende church yupo form 4 mi nipo form 2 yani aliliaaaa
  12. M

    ona hapa wahaya wanavotengeneza rubisi...(pombe ya ndizi)

    hahaaa sisemi mengi huwa wakwe hawataniwi!
  13. M

    Haya ndiyo yaliyotendeka Uganda katika bikini car wash festival

    kwanza nimesikitika,pili nikacheka tatu najiuliza hivi wanawake huwa wanadhalilishwa au wanajidhalilisha mara nyingi kuliko wanazodhalilishwa?????????????:embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1:
Back
Top Bottom