Huyo Zitto mwenye pesa mbona husemi kama alitoa ahadi 2015 kwamba akishinda ubunge na kupata Meya wa mji kupitia ACT atawalipia ada wanafunzi wote waliochaguliwa kwenda A-level ndani ya shule za mkoa wa Kigoma, lakin hakutimiza ivo?? Sasa ajue hilo ni moja kati ya yalimpotezea ubunge, pia...
Chadema acheni michezo ya kitoto.
Mtu kama Msigwa alishajua hawezi shinda mapema saaaana ndo maana alianza kutukana wapiga kura. Pia wala halalamiki kuibiwa kura yuko fresh anaonekana hapa town kwake.
Eti Mbowe analalamika, wakati tuliona before anazomea na wananchi wa Hai hadi akahairisha...
Maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa bro.
Atakuwa amekuwa akishinda ndotoni sio kwenye box la kura. Msiongee kwa maneno kwamba kila mwaka anashinda bila ushahidi?? Anang'ang'ania uongozi sababu hataki kuwaachia vijana hyo nafasi yake. Wapiga kura tukiona sura ya mtu yuleyule muda wote obvious...
Hahahahah Mbowe alisema anajiandaa kuwa Prime Minister[emoji3][emoji3][emoji3]. Wapinzani wa nchi hii; kura hawapigi lakin vilio vingi.
Sisi wana CCM kura tumepiga za kutosha[emoji172][emoji172][emoji172]
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Mungu anampatia mwenye haki haki yake.
We unajuaje kama maalimu Seif akiwa mtawala atakuwa mtenda haki na pia unajua kwa nn anang'ang'ania madaraka??
Huku kuswali tahajjudi hata Wana CCM wanafanya.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Acha roho mbaya kisa mahaba yako ya kijinga kwa mabeberu. Tanzania sio ya Chadema wala CCM pekee ni ya Watanzania. Huwezi kuichafua nchi ya watu almost 60 mil kisa mtu mmoja. Tanzania kwanza
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.