Uchaguzi 2020 Polepole: CHADEMA walichapisha kura feki ili kuvuruga Uchaguzi Mkuu

Chadema walitoa wapi mihuli yamoto inayopatikana NEC?. Nakama nikweli kwa nini waliokamatwa police haikuwachukulia hatua hata kama ni CHADEMA wenyewe, na je kwa nini mwenyekiti wa tume alisema hakuna kura fake zilizokamtwa?.

Tukutane kesho tarehe 2 barabarani, hii ninchi yetu sote, nawala si ya ccm peke yao.
Mhuri wa Moto?! Hata wa ikulu unapatikana...kuhusu kuingia barabarani hizo ni story tu hakuna wa kuingia road,tupumzishane tafadhali acheni mshindi afanye kazi.
 
Yaani ni barabarani mfululizo hakuna kukoma...
 
Chadema acheni michezo ya kitoto.
Mtu kama Msigwa alishajua hawezi shinda mapema saaaana ndo maana alianza kutukana wapiga kura. Pia wala halalamiki kuibiwa kura yuko fresh anaonekana hapa town kwake.
Eti Mbowe analalamika, wakati tuliona before anazomea na wananchi wa Hai hadi akahairisha mkutano wake

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Waliokamatwa na kura fake ilitakiwa wapigwe kichapo kitakatifu mno ambacho wasingesahau maisha yao yote then waseme wamezipata wapi na nyingine zipo wapi

Badala yake watu walikuwa busy na simu zao kupiga picha tu na kurecord video. Sasa akina Polepole wamepata sababu ya kutokea na kuuliza maswali kwamba kwanini hao waliachiwa
 
Mhuri wa Moto?! Hata wa ikulu unapatikana...kuhusu kuingia barabarani hizo ni story tu hakuna wa kuingia road,tupumzishane tafadhali acheni mshindi afanye kazi.
Kama ni kweli hizo kura zilichapishwa na chadema, kwanini polisi walikuwa wanawalinda na kuwatetea waliokuwa wamezibeba? Kwanini mwenyekiti wa tume ya uchaguzi alijitokeza na kuwaambia wananchi wapuuze hizo tuhuma za kuwa kuna kura fake wakati akijua kuwa chadema wamechapisha kura fake?
 
Back
Top Bottom