Hongera sana kwa uchambuzi wako wa kina kuhusu Chadema. Ni dhahiri kuwa unaijua siasa ya Tanzania vizuri sana. Ninakuomba sasa udhihirishe umahiri wako kwa kuichambua pia CCM huku ukijikita katika ufisadi, udini, maadili ya uongozi, wizi wa maliasili - Meno ya tembo, kusafirisha wanyama hai nje...