Mtamile
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 2,838
- 1,275
(Mkuu Dingswayo Tafadhali futa kauli haraka sana sema baadhi ya Watanzania ni Wajinga.)
Nirudi tena kwa Mwigulu Nchemba kwa nafasi alizo kiungozi siyo mtu wa kukaa analalamika badala yake anatakiwa awe mtendaji zaidi kwanza yeye ni Mbunge alitakiwa kupambana huko huko bungeni kukomesha hiyo misamaha ya kodi isiyo na tija pili yeye ni Naibu waziri tena kwenye wizara nyeti kabisa na inayohusika na utoaji wa misamaha ya kodi pia ana nafasi nzuri zaidi ya kulisemea hili. tatu yeye pia ni Naibu katibu mkuu wa chama tawala kinachoongoza dola cheo chake nadhani ni cha nne kwa ukubwa ndani ya chama hivyo pia ana nafasi nzuri zaidi ya kurekebisha hizi kasoro

Last edited by a moderator: