Habari wa JF,
Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 32. nina tatizo la miguu na mikono kuwa ya moto na pia kuwa na ganzi ni tatizo ambalo limeanza kama wiki 4 zilizopita saa nyingine hata nikivua nguwa huwa najihisi kama sijavua ngu nahisi kama ninazo mwilini.
Nimekwenda hospitali moja hapa Dar...