CHADEMA kufanya kongamano kesho, kupinga ubaguzi wa rangi

kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
7,238
2,000
Baraza la vijana CHADEMA (BAVICHA) Kesho watafanya Kongamano (Vuguvugu) LA kupinga ubaguzi wa Rangi unaofanywa na Ccm kule Zanzibar na Tanzania kwa ujumla.

Tunaomba ushirikiano wenu wa hali na Mali ili kufikisha ujumbe huu kila kona ya nchi hii,na kukomesha kabisa Ubaguzi huu ambao unaelekea kuliingiza Taifa letu kwenye machafuko makubwa sana.

Aidha Vuguvugu hili litahudhuriwa na vijana wote bila kujali vyama vyao kwa kuwa ubaguzi huu una madhara kwa kila mmoja wetu,

Mzungu mzaji wa Kongamano hili ni Viongozi mbalimbali pamoja na Msemaji wa Baraza hilo EDWARD SIMBEYE ,Tunaomba mfike wote bila kukosa

Wasalamu
Edward SIMBEYE
Mwenezi BAVICHA Taifa
cdm wamekaa mkao wa kudandia hoja yoyote wakidhani itawatoa. kwanza mjitazame cdm ubaguzi wenu wa ukabila. chama kimeshikwa na ukoo na kuuzwa kwa ridhaa ya ukoo wa baba mkwe.
 
josephmagombe

Member
Aug 22, 2015
50
95
Hahahahahahhaha aibuuuu aibuuu aise yani mnatafuta kick kwa nguvu mpka nawaonea huruma jamani.... yani kabango kamoja kanawatia hofu... na ccm imeomba radhi sasa nyie mnataka kuanzisha nn.... kwanza namashaka nyie ndo wachonga bango lile... duuuuuu kick hz jamani duuu zitawatokea puani hahahaha
 
Kalamu mpya

Senior Member
Oct 8, 2015
193
225
Katfanyeni kazi za kujiletea maendeleo acheni ujinga. Kongamano!kongamano hunakazi ya kufanya njooni mfagie banda langu la mbuzi mpate ujira.
 
Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
41,143
2,000
Lowassa alipoomba kura kanisani mbona mlitoa mpaka tamko na ikawa wimbo wa Taifa Star tv na kwenye majukwaa?Hiyo haikuwa kick?
Hahahahahahhaha aibuuuu aibuuu aise yani mnatafuta kick kwa nguvu mpka nawaonea huruma jamani.... yani kabango kamoja kanawatia hofu... na ccm imeomba radhi sasa nyie mnataka kuanzisha nn.... kwanza namashaka nyie ndo wachonga bango lile... duuuuuu kick hz jamani duuu zitawatokea puani hahahaha
 
Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
4,595
2,000
Nchi inakufa. Kama tangazo lenyewe halina hata mahali na muda. Ujue anayeandika au mwandaadi ni kama kubenea yule wa elimu ya hapa na pale.

Pole sana taifa letu kwa kukosa vijana wenye ueledi.

Msisahau hata kuongelea tetesi za Mbowe kuuza chama na kumkaribisha yule mwizi mkuu wa Rich Rich.
Baraza la vijana CHADEMA (BAVICHA) Kesho watafanya Kongamano (Vuguvugu) LA kupinga ubaguzi wa Rangi unaofanywa na Ccm kule Zanzibar na Tanzania kwa ujumla.

Tunaomba ushirikiano wenu wa hali na Mali ili kufikisha ujumbe huu kila kona ya nchi hii,na kukomesha kabisa Ubaguzi huu ambao unaelekea kuliingiza Taifa letu kwenye machafuko makubwa sana.

Aidha Vuguvugu hili litahudhuriwa na vijana wote bila kujali vyama vyao kwa kuwa ubaguzi huu una madhara kwa kila mmoja wetu,

Mzungu mzaji wa Kongamano hili ni Viongozi mbalimbali pamoja na Msemaji wa Baraza hilo EDWARD SIMBEYE ,Tunaomba mfike wote bila kukosa

Wasalamu
Edward SIMBEYE
Mwenezi BAVICHA Taifa
 
Queen Esther

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
2,125
2,000
Safari hii maandamano kafanyieni mkoa wa Kilimanjaro.

Queen Esther

Baraza la vijana CHADEMA (BAVICHA) Kesho watafanya Kongamano (Vuguvugu) LA kupinga ubaguzi wa Rangi unaofanywa na Ccm kule Zanzibar na Tanzania kwa ujumla.

Tunaomba ushirikiano wenu wa hali na Mali ili kufikisha ujumbe huu kila kona ya nchi hii,na kukomesha kabisa Ubaguzi huu ambao unaelekea kuliingiza Taifa letu kwenye machafuko makubwa sana.

Aidha Vuguvugu hili litahudhuriwa na vijana wote bila kujali vyama vyao kwa kuwa ubaguzi huu una madhara kwa kila mmoja wetu,

Mzungu mzaji wa Kongamano hili ni Viongozi mbalimbali pamoja na Msemaji wa Baraza hilo EDWARD SIMBEYE ,Tunaomba mfike wote bila kukosa

Wasalamu
Edward SIMBEYE
Mwenezi BAVICHA Taifa
 
Babu JP

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
2,169
2,000
Naona uzi huu umechangiwa na watu mashuhuri na wakubwa nchi hii wengine viongozi wengine matajiri. Haya bhana nisie na chama nasikitika kuendelea kushuhudia siasa mara za kunyimana hata haki ya kuzika marehemu ccm mnajua macho fanya tunaojielewa tunaona mnavoleta fitina ili muendelee kurithitha wanenu nafasi zenu hamna nia dhabiti ya kutukomboa bado mna figisu
Mwambien shein alishakubali Maalim kashinda leo hii wa huku mnaenda kuzuia kimabavu looh ccm kila siku hamna aibu
Waongo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom