Recent content by mujunwa

  1. mujunwa

    JamiiForums Tanzania December Kipindi Cha Magufuli Mshahara tar 19

    Si umfuate huko aliko akupe mshahara wako...!!
  2. mujunwa

    JamiiForums Tanzania Yanga Yapaa Ubora wa Viwango, Yashika Namba 4 Afrika, Yawabwaga Simba, Mamelodi

    Uko sahihi mkuu . Mi Simba lakini Yanga wako serious kuwekeza kwenye pitch . Imagine unaleta wachezaji wa kigeni wa kuja kukaa benchi . Halafu wamekuwa na propaganda utafikiri wanasiasa . Wahuni wanaovaa suti wanatuharibia timu .
  3. mujunwa

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya NIDA ndio vitumike kupiga kura wakati wa Uchaguzi

    Haya ni mapendekezo yako au ya NEC ?
  4. mujunwa

    JamiiForums Tanzania Inasemekana Waafrika wawili akiwemo Mtanzania Nemes waliofariki vitani wakipigania upande wa Urusi walikuwa wanafunzi

    Labda kijana alikuwa " KITENGO KITENGONI .'' Najaribu kufikiri nje ya duara .
  5. mujunwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 100 ways to love

    For sure what you have wrote is somehow practical to western world but almost impossible on third world though there are some good truth . Practicalities of relationship will also remain mysterious .
  6. mujunwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 100 ways to love

    Agree with you . Women are wired differently . They have never come across to know what they want exactly .
  7. mujunwa

    JamiiForums Tanzania 2021 AFCON Special Thread

    giara nd'o nani ?
  8. mujunwa

    JamiiForums Tanzania Uwanja sawa, lakini Bil. 2 hapana!

    Mkuu umeandika mambo mengi mazuri lakini hujajibu hoja ya jamaa kwamba kimsingi je hiyo 2b ambayo si haba anaitoa kama mwanachama au shabiki wa kawaida au kama mwekezaji ? Nafikiri hoja iko hapo . Kwamba , kama anatoa 2b kuonesha mfano kwa wanachama , wapenzi , mashabiki na wadau wa soka...
  9. mujunwa

    JamiiForums Tanzania Uwanja sawa, lakini Bil. 2 hapana!

    Kuna kitu hapa . Ngoja niendelee kutumia akili yangu ipasavyo kabla sijafikia hitimisho . Asante mkuu . Mimi ni Simba damu lakini kuna HOJA kwenye bandiko lako . Credit kwako .
  10. mujunwa

    JamiiForums Tanzania Misheni kubwa za taasisi ya upelelezi MOSSAD!

    Jamaa analingia sana story yake .
  11. mujunwa

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

    Roho imekuuma maana wewe ni kuku wa broiler . Enzi hizo dunia haijawa kjiji , tv ilikuwa kwa Ñyerere tu . Wewe unaongea mambo ya Ulaya . Kipindi hicho nani angekuruhusu uende ulaya hovyo ? Wakati huo Ulaya kwenyewe walikuwa na wanaume wa shoka , sio hawa wa kizazi chenu cha kujipodoa na...
  12. mujunwa

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

    Itutu Kigi " Road master ''
  13. mujunwa

    JamiiForums Tanzania Kibu Denis

    Uko sahihi . Nilichogundua watanzania wengi wanashabikia mpira hawajui mpira na hawaamini kwenye utaalam . Tunapaswa kujua yafuatayo :- 1 . Mchezaji yeyote anapikuwa mpya kwenye timu anapaswa kupewa muda kuzoea mazingira na mfumo wa timu aliyohamia . Kibu ana kipaji cha soka na anajua mpira ...
Back
Top Bottom