Recent content by muima

  1. muima

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kampuni zinazokopesha vifaranga + chakula Cha kuku

    Wale hapana mkuu, me nataka nikafuge mwenyewe sio wanifugie.
  2. muima

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kampuni zinazokopesha vifaranga + chakula Cha kuku

    Haha mkuu natamani kufuga kwangu sio wanifugie ʘ‿ʘ
  3. muima

    JamiiForums Tanzania Una wazo la kufanya ufugaji wa kibiashara

    Nakuja tuyajenge
  4. muima

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kampuni zinazokopesha vifaranga + chakula Cha kuku

    Habari za jioni wanaJF, Maomba connection ya kampuni zinazojishughulisha na kutoa mkopo ya vifaranga na chakula Cha kuku kwa wafugaji wadogo. Asanteni.
  5. muima

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya vitotozi incubator, mizinga ya nyuki na vifaranga vya kuku

    Boss hizi huduma Bado zipo?
  6. muima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fine dining vs casual dining: Tanzanian chicks

    Mbavu zangu jamanii
  7. muima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukio gani la ajabu limewahi kukukumba mbele za watu

    Asante kwa uzi huu mkuu, niko hoi hapa mbavu zangu hazina hali
  8. muima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukio gani la ajabu limewahi kukukumba mbele za watu

    Hahahahhahahaha halafu sauti haipunguagi kirahisi mkuu
  9. muima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake walevi huchepuka kwenye mahusiano

    Wameamua kupopolewa, akikaza humpati.
  10. muima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake walevi huchepuka kwenye mahusiano

    Tunywe, tudance tukalaleee..
  11. muima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake walevi huchepuka kwenye mahusiano

    Katika juhudi za kupopoa mmegeralize sanaaa
  12. muima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake walevi huchepuka kwenye mahusiano

    Sio kweli kabisa
  13. muima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake walevi huchepuka kwenye mahusiano

    Hujanipata kizembe hivyo bado sanaaaa
  14. muima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto wa mwisho tukutane hapa

    Kwakweli
  15. muima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto wa mwisho tukutane hapa

    Mimi pia nisingechomoka aisee, miaka 7 gap na bro ninaemfata.
Back
Top Bottom