Natafuta Kampuni zinazokopesha vifaranga + chakula Cha kuku

muima

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
276
66
Habari za jioni wanaJF,

Maomba connection ya kampuni zinazojishughulisha na kutoa mkopo ya vifaranga na chakula Cha kuku kwa wafugaji wadogo.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom