Mpe muda wa kutosha wala usionyeshe kuwa hukupenda alichokifanya, yaelekea ana malengo mazuri na wewe. Kukimbilia kuomba mzigo na kulazimisha upewe yaonekana wewe ni mbinafsi. Msemo huu ni muhimu kuuzingatia, mvumilivu hula mbivu
Chama la wana linahitaji bekima ya hali ya juu ili kudumu humo, kinyume cha hapo unafutwa uanachama baada ya muda mfupi. Tunakutakia kila la kheri Mwenyezi Mungu mwingi wa rhma awe pamoja nawe.
Papuchi ndo rasilimali pekee waliyonayo wanayoweza kuitumia kupata mpunga kwa ulaini, na kwa kuwa wanaume ni watumwa wa papuchi huo ni mtego maridhawa kwa wanawake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.