Binti wa Kiiraq amenihonga Vitz siamini

Binti wa Kiiraq amenihonga Vitz siamini

Ukiendelea kutamania vitu ambavyo haviwezi tokea utaishia kuokota makopo
 
Umeanza kuvuta Bangi mwaka gani??...maana hii ni stage moja unapitia kwenda nyingine na pia utakua unakula sana...ukishakua chronic/mbobezi fikra kama hizi zitayeyuka gafla
 
Labda Tanzania ikatwekatwe tuvipande tudogo tudogo,huto tu vipande ndo tutaitwa Tu'Vitz
 
Inna we mzaramo huna connection yeyote mitaa ya mto wa mbuu ama connection na muiraq yeyote.

Nimechoka kupanda mwendokasi
 
Hakikisha kwanza bana tusije kukushauri kumbe k2 chenyew hakijatokea ni mawazo2 kutokana na shida
 
CHAI CHAI CHAI CHAI.
2457376_JamiiForums-621070314.jpg
 
Wadau habari za wikiendi.

Katika pita pita zangu mwezi Wa sita nikakutana na bint wa Kiiraq mtandaoni wa Mto wa mbu tukaanza kuchati kama utani Jana nikafunga safari tukaonane.

Leo asubuhi tukakutana cha ajabu nimemkuta ana Vitz sehemu aloniambia tukutane.Baada ya stories nashangaa ananikabidhi funguo sikuamini nafikiri ananitania na akaniambia tuongozane kwenye Kituo cha Afya tukapime Afya tukaondoka majibu yapo fresh tupo wazima.

Ameniambia leo haendi kwao anataka tukeshe na amesema yupo kwenye siku za kushika pregnancy hivyo nijiachie Kwa Uhuru anataka mtoto.

Wadau mm sina hata baiskeli nyumbani Nina Mke na mtoto mmoja hatujafunga ndoa nipo njia panda nishaurini.
Bangi za Arusha mbaya achana nazo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom