Hebu fafanua unamaanisha nini kwamba anapenda zaidi attention kuliko kuwajibika. Utaka kusema Jerry Silaa alilazimisha kutoa hiyo barabara inayopita Ikulu ili wakati Obama anakuja apewe fursa ya kuikabidhi kama Meya wa Kinondoni alivyokabishi Old Bagamoyo road kwa Kibaki? Una maana kwamba Jerry...
Hivi hawa wanamuziki wabwiya unga wanapoofariki wanafanyiwa maziko ya kifalme huwa wanaomba kibali polisi. Mtu anaweza ku scan na kubandika hapa kibali kilichotolewa na Polisi kuhusu msiba wa Kanumba, Ngweya na Linga?
Ameshapelekewa ushahidi wa yule mama mjamzito aliyepigwa risasi kule Mtwara? Wakina mama waliobakwa na polisi? Nyumba zilizochomwa moto na polisi?
Chagonja sets the stage. Anachosema Chagonja ndicho atakachosema Mwema na ndicho atakachosema Pinda na JK. Angalia kumbukumbu sawa sawa, likitokea...
Tatizo siyo kwamba tanzania isisafiri nje, bali rais asifanye kazi ya waziri wa mambo ya nje. Safari hizo ni kazi ya waziri wa mambo ya nje. Safari zingine anakwenda kuhudhuria semina ambazo ni jukumu la maafisa wa serikali wala siyo mawaziri
Hii habari ni ya uongo ya kutunga, ama uonekane eti unajua intelijensia au kupotosha ukweli. Kwa mfano, hiyo habari ya kwamba eti mbowe alikimbilia kituo cha polisi kuwaomba waje kusaidia kutuliza fujo nimeisikia kwa mara ya kwanza leo asubuhi Chagonja akisema alipokuwa anahojiwa na Radio One...
Kigwangwala ni janga la kitaifa. Hata sikuelewa alichoongea cha maana ni nini. Yeye akiona majembe kama Mbatia, Seru----, na Mpina wanatangaza kutounga bajeti mkono naye anadhani akijiropokea hivyo bila hoja atakuwa maarufu.
Walioandaa muhadhara ndio wenye makosa. Profesa alisahabu miwani ofisini hivyo hakuona kama anarekodiwa kwenye kidewo. Walitakiwa wamuase kabla hajaanza kujilipua hivyo
8.1.6 Kutokuwepo Mwongozo Unaoelekeza Maagizo ya Wizara Yanayotakiwa Kutolewa kwa Mashirika
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) ni shirika huru ambalo limeanzishwa kwa mujibu wa sheria ya Bunge yaani Sheria ya Bodi ya Utalii Tanzania, CAP 364 ya mwaka 1962 na kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.