Recent content by muhinisugi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sababu kwanini hutakiwi kujichanganya na watu 'uliowapiga gap' kubwa kimaisha

    Tumia lugha moja uweleweke Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania MBOWE: Safari ya Kigoma inaendelea (baada ya Lowassa kurudi CCM)

    Huyu mbowe ndiye pasua kichwa chadema na atatuyumbisha Sana tutafakari kisha chukua hatua Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Sindbad baharia na safari saba

    Hiki kitabu nilikisoma mwaka 1990 hongera kwa kunikumbusha nakipenda Sana cjui naweza kukipata?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Sindbad baharia na safari saba

    Hiki kitabu nilikisoma mwaka 1990 hongera kwa kunikumbusha nakipenda Sana cjui naweza kukipata?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Mbona tunaambiwa Chanel za hapa bongo zionyeshwe bure mbona kimya kulikoni naomba majibu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ukiishi maeneo haya jijini Dar huwezi kufanikiwa hata kidogo

    Watu wote wangekuwa matajiri Kama wangeshi kwa kukopi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa matiti kwa mwanaume

    Ni ukamilishaji wa umbo lako liwe na mvuto, kwani mavuzi yanakazi gani mwilini kwako
  8. M

    JamiiForums Tanzania Shaffi kwa nini humkubali Ronaldo?

    Hajatambui huyo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume mkiondoka nendeni moja kwa moja.

    Ukimwi upo na unauwa mtapima, lakini tabia
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume mkiondoka nendeni moja kwa moja.

    Ukikubali kuwa nae tena basi hakukuumiza huyo,lakini Kama kweli alikutenda basi kuwa na msimamo thabiti tafuta mwingine lasivyo atarudia yaleyale akipata mwingine tena
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye umri kuanzia miaka 32 na kuendelea wanajua kupenda mwanamke, unaweza kuhisi upo sayari ya Pluto

    Uko sahihi kabisa maana wanajua majukumu yao na maisha yanaenda vipi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Makanisa na Misikiti kwenye makazi ni kirusi kinacholelewa na Serikali

    Kama hukai Jirani na haya makanisa ya kilokole huwezi jua adha na kero
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Makanisa na Misikiti kwenye makazi ni kirusi kinacholelewa na Serikali

    Kweli haya makanisa hasa ya kilokole yanafujo Sana hawamwabudu mungu ila ni disco kwa Sana, halafu siyo kwa ajili ya ibada ni biashara za watu kwa sasa maana mtu anamwambia mwenzie ukitaka urahisi wa maisha jenga kanisa, hata Mimi naunga mkono serikali kuyafungia haya makanisa binafsi toka lini...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Limbwata huuwa na kuvunja ndoa

    Unyenyekevu na utiifu kwa mwanamke ni limbwata tosha kabisa hayo mengine nikuumizana tu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Illiijimae ni noma
Back
Top Bottom