Recent content by Muhina Daniel

  1. Muhina Daniel

    UVCCM wamvaa Kijo Bisimba; Wamtaka akatae ushabiki awe mpambanuzi

    Moja ya mambo ya hovyo yanayofanywa na taasisi ya Bi Kijo ni hiyo! Viongozi wa Kisiasa wanatoa matamko haram tena yenye kuhatarisha amani wao wapo kimyaaa kama hawapo vile wala hawapo tayari kuyazuia matamshi hayo lakini uvunjifu wa amani unapojitokeza tena uliosababishwa na kundi la watu...
  2. Muhina Daniel

    Naomba kujua taratibu za kuvunja ndoa ya kikristo

    Kwa kuwa hujaoa bado na unajiandaa kuoa huku ukiwa na mawazo ya kuacha njia nyepesi ya kuacha mke kwa ndoa ya kikristo ni kutokuoa kabisa
  3. Muhina Daniel

    CHADEMA wamlima barua Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji F. Mtungi

    Mmeandamana bila kibali! Mmevunja sheria! Jamhuri iliwatangazia kuwa mkusanyiko wenu si halali hivyo mnaagizwa msambae LA sivyo nguvu itatumika! Mkakaidi amri halali! You are In!
  4. Muhina Daniel

    Baada ya Rais Magufuli kufanikiwa kuua upinzani vyama. Sasa kaibua upinzani Umma

    Kumbe Upinzani ume dead ? That's good news
  5. Muhina Daniel

    Mabankers Tusaidieni: Je, Commissioner General wa TRA ana Mamlaka ya Disclosure Details za Account ya mtu?

    Aliyesema Publicly kuwa ana fedha nyingi kuizidi Serikali ! Yeye hana kosa sijui? Paskali tusaidie na hili pia
  6. Muhina Daniel

    Wimbo wa Papii Kocha umenitoa machozi

    Atakuwa mwanaume wa Dar huyu!
  7. Muhina Daniel

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Pole Sana! Anza kwa kubadili life style, badili marafiki japo vigumu, jiunge na club za mazoezi, jilazimishe kupenda sana kuwa home mapema muda unapomaliza majukumu ya kutafuta kipato yaani baada ya kutoka kibaruani utapata tabu siku za mwanzo baadae utazoea! Hii kitu ilinitesa sana kwa kipindi...
  8. Muhina Daniel

    Yuko wapi mwanaCCM Ismail Aden Rage?

    Kwa kuwa umeulizia kujua yuko wapi acha nikusaidie kidogo! Ametoka Macca(Wiki chache zilizopita)alikwenda Hija yeye na familia yake! Ana kampuni kadhaa na ni shareholder wa kampuni mbili kubwa za Kimataifa moja ina Makao Makuu SA. Ana tenda nono ya mradi mkubwa sana ! Kwa tunao fahamu muda mrefu...
  9. Muhina Daniel

    Tuache utani, kipindi hiki unamchagua mpinzani ili iweje?

    Kwa nguvu za ajabu za kitendaji alizonazo JPM lazima mbabaike sana! Wananchi wamemuelewa na kumkubali JPM! Siha na Kinondoni zinarudi CCM! Take my word Brother
  10. Muhina Daniel

    Udanganyifu unaofanywa kwenye michezo ya kubahatisha na kamari

    Naam! Nimefarijika sana na Post hii Binafsi ni miongoni mwa Vijana wachache ambao siamini lolote wala chochote kupitia bahati nasibu/Kamari. Ni kweli vijana wengi /watu wazima siku hizi ndio sehemu ya maisha yao, Nina rafiki ambae hurudi nyumbani kila siku kuanzia SAA saba usiku hadi nane kutoka...
  11. Muhina Daniel

    CCM Kidedea Tabora!

    Matokeo ya uchaguzi Mdogo wa Udiwani Kata ya Bukumbi Wilaya ya Uyui Mkoa Tabora Ccm 1518, cuf 175
  12. Muhina Daniel

    Chonde Chonde CCM!, Kakobe Has Powers!, Akisema CCM ni adui wa Mungu, 2020 CCM Haitapata Kura Milioni 10 za Walokole!.

    Hivi ni Kakobe huyu huyu aliyewahi mtabiria MTU kuwa asipokuwa Rais yeye Kakobe ataacha kuhubiri au ?
Back
Top Bottom