Nasikitika sana noti tunazotumia kwa sasa zina signature ya marehemu Balali ambaye alikuwa fisadi na pia ina signature ya fisadi mwingine aliye hai aitwaye Mramba.Hii ni haki?
Hata maandiko yalisema chapa hii iliyoko kwenye sarafu ni ya nani?wakasema ni Kaisari.
kwa hiyo hizi noti ni za Mramba...
RA strategies.
Richmond ilikuwa feki na ikauzwa kifeki.Yote yalifanyika baada ya uchaguzi wa 2005 na sasa ni baada ya uchaguzi 2010.Yele yale kurudisha hela tulizotumia kwenye uchaguzi kuhonga
Waliosimamia kamati ya kuchunguza wako wapi sasa ili waongee?ushahidi walisema wanao.Je watautoa...
Big up Dr
Dr amejibu vizuri jamani.Watu ni vichwa.Sisi tumekaa tu tunafikiri viongozi wetu hawaoni mambo kumbe wako mbele sana kisayansi.
Yusuf makamba angeweza kutoa majibu hayo?si angeongea utumbo mtupu
Kweli aibu kubwa sana imeonyeshwa pale bungeni tukianza na speaker.
Watu sio wadadisi na hawajiandai kwa interview.
Na jamani haya mambo ya wabunge kupitisha issue kwa kutamka jumla naona ni uhuni tu jamani.
Inabidi tuende kisayansi.Hii imetoka wapi?
Huyu mama ametumwa kazi moja tu y kutoruhusu wana CHADEMA kuwa na sauti.
Ninachomsikiyikia ni kuwa vijana wa CHADEMA wako mahiri na sheria wanaijua watamtesa sana.
naona anajaribu kutumia kanuni kuzima kanuni.
Nashukuru MUNGU watu tunaona haya mambo kila mahali.Mpinzani wa kweli anajulikana...
Jamani alikuwa anaogopa kuanguka.Si mnajua ni mgonjwa?
Angeanguka huku amazungukwa na wageni mbalimbali wa nje na ndani.Najua muda mwingi kwa sasa atakuwa anatumia kwa matibabu.Safari za ng,ambo zatakuwa ni nyingi sana
Mungu ibariki nchi hii.
Tuliona mengi na mengi tutayaona.
Kama kura za maoniwalichakachua,kura za watanzania wakachakachua,JK akamnyanyua na kusema ni mtu safi.Unategemea kuwa Chenge atakosa kupata uspika?
Kitendo cha kumpa nafasi ya kugombea ubunge ni kudhalilisha na kudharau watanzania.Kati...
Kama Ubungo wamekubali kuhesabu upya tukubali tumeliwa.Hakuna sheria inayoruhusu hicho kitu.Wamekubalije?
Angalia Kigoma mjini wamerudia kuhesabu tukaliwa.
Kura za kurudia zimeshachakachuliwa
Ninashindwa kuelewa kujumlisha matokeo ya Ubungo wakati vituo vyote wana figure zake.Kama calculator hawana wanaweza kutumia hata simu za mkononi.
Kweli jamani kama si kuchezea amani tangu asubuhi hawajaweza kujumlisha yote na kutangaza?
Makarani wa kuchapa matokeo ya jumla yakiwa yameshakusanywa wamechukuliwa na kupelekwa makao makuu ya Mkoa.
Taarifa hii imetoka kwa Mtanzania mwenzetu akiwa Manyara ambapo ameniambia kuwa hawa makarani wamechukuliwa leo kwenda mkoani ambapo haijulikani wanaenda kufanya nini.Then watarudishwa...
Nimetoka kupiga kura pale UDSM utawala.Hali ni shwari ila kilichonisikitisha ni kutokuwepo wakala wa CHADEMA kwenye kituo namba 5 ambacho nimepigia mimi.Wapo wa CUF na CCM tu.:A S angry:
This is very dangerous.
Nikiwa njiani kuelekea hapo kituoni maana nakaa KImara nilikutana na foleni ya...
tatizo mawakala ninaowaona vituoni noma tupu.Sina imani kama ni wateule wa chama chetu jamani.Isijekuwa tume imezunguka ikaweka mamluki wao ili wizi ufanikiwe
Hiyo ya kuongeleshwa kwa simu ni cha mtoto.
Tunaokaa Mbezi -Kimara yumepata sms kwa mtandao wa voda com yenye jina HAWA ikiwa na msg nichague niwe mbunge wako kwa maendeleo ya ubungo.
Kwnye phonebook hakuna namba yake wala jina.Amepataje namba yangu?
wameingilia mpaka mtandao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.