Recent content by muhibu saidi

  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASCO wanachimba mitaro na kuiacha muda mrefu bila shughuli inayoendelea

    Njiapanda ya Segerea upande gani DAWASA wamechimba? Pia itapendeza sana ukiweka picha mkuu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Usafiri wa Mwendokasi umekuwa kero, afadhali ya Daladala!

    Mleta post mbona hajibu hili swali?
  3. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Usafiri wa Mwendokasi umekuwa kero, afadhali ya Daladala!

    Hii ni ruti ya wapi ndugu mleta post?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hadithi za wapagani wa kiarabu ndani ya Quran

    Mtoa mada anaonekana hajui kuwa maandiko mengi ya Biblia yanaonyesha kuwa kulikuwepo na vitabu, ambavyo havimo ndani ya Biblia. Kitabu kimojawapo ni "KITABU CHA TAREHE CHA WAFALME WA ISRAELI". "Na mambo yote ya Ahabu yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, na nyumba ya pembe aliyoijenga, na miji...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Manispaa ya Moshi unafunga biashara za watu soko la Mbuyuni kwa nini?

    Wamepandishiwa kodi hadi laki tatu, kutoka kodi ya shilingi ngapi ya awali?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mfahamu abiola, mdhamini wa kombe ambalo Simba alicheza final 1993

    Mtoa mada ni mwongo wa kutupwa! Hayo mashindano ya mwaka 1993 ambayo Simba walifika hatua ya fainali, yaliandaliwa na CAF na yaliitwa "CAF CUP" (Kombe la CAF). Abiola alikuwa ni mdhamini tu wa hayo mashindano ya hilo kombe sawa na Benki ya NBC anayedhamini mashindano ya TFF, au sawa na Total...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

    Biblia inaonyesha siku ileile ambayo Hawa alitoka kwenye ubavu wa Adamu, ndio siku ambayo Mungu alimuozesha kwa Adamu. Maana yake ni kwamba Adamu alimuoa Hawa akiwa ana umri wa siku 1!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hapa ni wapi? Trafiki wadakwa kwenye video wakichukua Rushwa mara kadhaa

    Nyerere Road ni kubwa. Ni eneo gani hapo Nyerere Road?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hapa ni wapi? Trafiki wadakwa kwenye video wakichukua Rushwa mara kadhaa

    Nyerere Road ni kubwa. Ni eneo gani kwenye hiyo Nyerere Road?
  10. M

    JamiiForums Tanzania 'Magari ya Makonda' yakwama kukarabatiwa, mwenyewe agoma kutoa ushirikiano

    Makonda anaunguruma muda huu Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  11. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwana-JamiiForums, Thadei Ole Mushi afariki dunia

    Kuna taarifa amefariki dunia! Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama. Je, Ratiba ya Maandamano kutolewa?

    Safiii Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Unawezaje zuia usipatikane kwenye simu lakini ujue nani kakutafuta

    Je, hapo ukifungua simu utamjua aliyekutafuta? Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom